Interesting...!

Jamaa alituma text kuomba namba ya jamaa wa TRA.....sasa sijui ilikuaje aandike TIHARAHEY nadhan angalao angeandika TIIARAEI mtu ungeweza kuunga unga dots kujua alichomaanisha.
Duh.....nilikuwa sijaelewa! TIHARAHEY.....HAHAHAH
 
Jamaa alituma text kuomba namba ya jamaa wa TRA.....sasa sijui ilikuaje aandike TIHARAHEY nadhan angalao angeandika TIIARAEI mtu ungeweza kuunga unga dots kujua alichomaanisha.
Ukiwaona jinsi wanavyotoka kipapaa utadhani ni bonge la wasomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…