Inter wame-equalize from NOwhere
Game inastahili kwisha droo
upinzani wa game hii unazidi ule wa el classico na wa premier??FT Inter 1-1 Milan.
Mechi ilikuwa ya upinzani sana.
Kwa heshima ya Inter Milan...hii game ulitakiwa uandike inachezwa Giuseppe "Peppino" Meazza, maana yeye ndio yupo nyumbani.
Joseph ama Yusuph Meazza amechezea timu zote hizo mbili...
Si lazima Inter wakija paitwe Giuseppe Meazza au AC Wakiwa kwao paitwe Sansiro.
Sansiro ni jina lililotolewa na Halmshauri ya jiji la Milan...
So yoyote akicheza panaweza itwa vyovyote
Ni kweli kuwa Meazza kachezea timu zote mbili, lakini alifanikiwa sana akiwa sana akiwa Inter...
Hapo kwa RED ndio unapokosea mkuu....jaribu kufuatilia kumbuka mie nimesema kwa heshima ya Inter.
Ingawa official name ya huo uwanja ni Giuseppe Meazza, lakini AC Milan hutumia jina la San Siro ambalo vilevile ni jina la kitongoji uwanja upo.