A worthless man will
open your legs, An
intelligent man will open
... your mind, a handsome
man will open your
eyes, and a gentleman
will open your heart
A worthless man will
open your legs, An
intelligent man will open
... your mind, a handsome
man will open your
eyes, and a gentleman
will open your heart
hata mi najiuliza kwa nini ushindikane,urafiki wa mawnamke na mwanaume unakuwa na benefits nyingi hasa msipoweka mapenzi ,kwa maana ukishaingiiza mapenzi haudumu hata kidogo
😛oa Smile, I wanna be ol those men in one...!!!
urafiki ukisha weka mahusiano ya mapenz mbele ndo mwanzo wa kufa, inawezekana kabsa kuwa marafki na heshma ikawepo
King'asti, haupendi marafiki wa kike?
Urafiki upo na unawezekanika sanaa tu! Mbona mimi marafiki wa brooo washikaji zangu sanaaa! Tena najua mambo yao kibaooo, urafiki wetu ni mkubwa kuliko wa brooo. The thing inayoleta utata ni hii MIZOMBIIII SUGU, wewe mtu badala ya ku apply for SEXUAL RELATIONS wanaomba FRIENDSHIP RELATIONS. Ila ushkaji upo baina ya baadhi yetu, na kila mtu ana mtu wake wanapendana nae. Sema wale wadhaifu ushikaji ukizidi ndo wanakuwa wanagonga MECHI ZA KIRAFIKI one time kisela!
Lara, mimi naomba iyo FRIENDSHIP RELATION.
Condition: Friends with benefits..
Hiyo umepata, ila benefits zitatoka kwako kuja kwangu!! LOL!
Agreed, ni wewe tu ku-propose venue yakupokea izo benefits! teh
Hahahaaaa! Hiyo easy, ngoja ni Ku PM namba yangu ya TIGO PESA!!!! (Who is laughing now?)
truuu dat mdauMimi naamini hakunaga urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke.
Mara kwa mara huwa najiuliza, mwanaume akiomba urafiki wa kawaida kwa mwanamke anakusudia nini? Maana wengi wao wanaishia kufall in love na kuumizana hisia zao ilihali ulirafiki ulioombwa ni wa kawaida. Haiwezekani kukawa na urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume forever? Hii inapelekea hata mwanamke akianzankuzoelewa na baadhi ya wanaume wanao mzunguka kwa japo salamu tu, anapata hisia mbaya kichwani mwake. Na kwanini ishindikane?.
MECHI ZA KIRAFIKI one time kisela!Urafiki upo na unawezekanika sanaa tu! Mbona mimi marafiki wa brooo washikaji zangu sanaaa! Tena najua mambo yao kibaooo, urafiki wetu ni mkubwa kuliko wa brooo. The thing inayoleta utata ni hii MIZOMBIIII SUGU, wewe mtu badala ya ku apply for SEXUAL RELATIONS wanaomba FRIENDSHIP RELATIONS. Ila ushkaji upo baina ya baadhi yetu, na kila mtu ana mtu wake wanapendana nae. Sema wale wadhaifu ushikaji ukizidi ndo wanakuwa wanagonga MECHI ZA KIRAFIKI one time kisela!