Udhaifu ni pamoja na kuchagua mpinzani dhaifu ili kudhibitisha uwezo wako. Ujinga ni pamoja na kutoa 9 na kuweka 0 kwenye nafasi ya 10.Tatizo sio kuondolewa ila tatizo kuleta mtu Kilaza ambaye alishindwa kazi TRA aje aweze kazi kwenye ofisi nyeti ya umma kama hii?
Neno shall kwenye katiba linalazimisha appointment muhula wa pili
Mimi sijajikita kwenye sheria, bali nimeangalia mazingira tu aliyomteua Kicheere. Tumia akili kidogo tu utaona kuna uvundo kwenye uteuzi.Well, hayo ni maoni yako tu na si ukweli wa mambo. Au kwa maneno mengine, huo ni mtazamo wako tu.
Lakini kusema kavunja katiba, naaah.
Uahahidi wa mazingira, use your sixth sense, we can't chew everything for you like a toddler!!Hiki unachokisema ni kutokana na sheria ipi au kanuni ipi?
Au ni mtazamo na hisia zako tu juu ya ile unacho HISI ni sahihi au kibaya?
Katiba inaandika kuwa ni lazima aendelee kwa kipindi cha pili na baada ya hapo hataendelea tena na iwapo atafikisha miaka 60 ndani ya hicho kipindi atastaafu...Assad hajafikisha 60
Mimi sijajikita kwenye sheria, bali nimeangalia mazingira tu aliyomteua Kicheere. Tumia akili kidogo tu utaona kuna uvundo kwenye uteuzi.
Sasa wewe unamchagulia Rais nani wakumteua basi wewe utakuwa ndiyo mwenye mamlaka ya uteuzi!!Tatizo sio kuondolewa ila tatizo kuleta mtu Kilaza ambaye alishindwa kazi TRA aje aweze kazi kwenye ofisi nyeti ya umma kama hii?
Kama linalazimisha ilikuwaje wakashindwa kuandika "must serve two terms"? Mimi bush lawyer....uusinibabaishe!!!( A bit of joke)Neno shall kwenye katiba linalazimisha appointment muhula wa pili
Hata anavunja katiba kwani yeye Jiwe anajali? The bloody sucking vampire doesn't give a damn!!Nimejaribu kupitia vipande vya katiba vinavyowekwa kusaidia kujenga hoja kwamba katiba imevunjwa, sijajua ni kichwa changu kizito au elimu iliyotumika kuandika katiba imenizidi kimo? Sijaona kwa haraka haraka mahali katiba imevunjwa. Vinginevyo wajuvi waje kutupa darasa.
Ikiwa katiba inaweka wazi kwamba CAG atahudumu kiti chake miaka mitano na anaweza kuongezewa muhula mwingine wa miaka mitano tu, kuna kosa asipoongezewa?
Hata anavunja katiba kwani yeye Jiwe anajali? The bloody sucking vampire doesn't give a damn!!
Alimteua Killangi kuwa AG wakati hayuko qualified kwenye nafasi Ile, watu wanapiga kelele wameufyata. Fatima Karume kagutiwa na ku practice usaili wa Mahakama Kuu kwa kesi aliyofungua dhidi ya AG na Rais.
This country is no longer a respectef nation with its norms and rule of law,it is just a banana republic. Tusubiri tu mpaka Rais mwingine no matter when!!
Hata akivunja katiba kwani kuna mtu wa kumuwajibisha?? The dude does'nt respect any article of the constitution from the title to the cover back.Niweke wazi kwamba tukirudi kwenye mazingira, hata mimi nna tashwishwi
Tatizo langu ni kutaka kuwaaminisha umma kwamba katiba imevunjwa. Ni mbaya sana hiyo, ukiulizwa vizuri imevunjwa vipi, unashindwa kuthibitisha, hiyo inafanya madai yote kuonekana kelele tu.
Kama tunamlaumu kwa kuchagua mtu asiyefaa hiyo ni kesi nyingine, tusiseme katiba imevunjwa.
Hata akivunja katiba kwani kuna mtu wa kumuwajibisha?? The dude does'nt respect any article of the constitution from the title to the cover back.
Kama Bunge na Mahakama wanachukua maelekezo toka kwake, unadhani hata kesi ya kikatiba ikipelekwa Mahakamani kuna Jaji atakayeamua against?
Juzi tumemuona Jaji Cyril Matupa alivyo legea kutoa maamuzi ya ubunge wa Tundu Lissu.
Hata mimi niliyeishia fom tuu nimeelewa kwamba, kama anaweza kuongezewa muhula mwingine wa miaka mitano basi pia anaweza asiongezewe.
Sasa sijui kigumu kueleweka hapo ni kipi hasa?
Hata anavunja katiba kwani yeye Jiwe anajali? The bloody sucking vampire doesn't give a damn!!
Alimteua Killangi kuwa AG wakati hayuko qualified kwenye nafasi Ile, watu wanapiga kelele wameufyata. Fatima Karume kagutiwa na ku practice usaili wa Mahakama Kuu kwa kesi aliyofungua dhidi ya AG na Rais.
This country is no longer a respectef nation with its norms and rule of law,it is just a banana republic. Tusubiri tu mpaka Rais mwingine no matter when!!
Incase atafikisha miaka 60 katika term ya pili atastaafuKama linalazimisha ilikuwaje wakashindwa kuandika "must serve two terms"? Mimi bush lawyer....uusinibabaishe!!!( A bit of joke)
===
Someni vifungu vyote vya katiba na sheria juu ya hili kwa pamoja. Acheni kuchagua vifungu mnavyotaka kusoma na kubagua vifungu vingine!
Ikiwa katiba inaweka wazi kwamba CAG atahudumu kiti chake miaka mitano na anaweza kuongezewa muhula mwingine wa miaka mitano tu, kuna kosa asipoongezewa?
Hizi ndo hisia ninazozizungumzia!
Fill my cup and drink with meKatiba inasema "na anaweza kuongezewa" au inasema "na ataongezewa"? Kuna tofauti kubwa sana kama mteuaji anapewa uhuru wa kuamua kumuongezea muda au la.
Kwenye katiba inasema "shall be eligible for renewal" na haisemi "may be eligible for renewal", hivi ni vitu viwili tofauti sana. The former implies renewal must be done and the latter implies its optional or not to renew.
If we are to debate intelligently without emotions, it's clear the office of the President is on the wrong here.
nyabhingi Nyani Ngabu
CAG Hajawa terminated, kwenda shule hakumaanishi kuelewa kila unachosoma.CAG kawa terminated
Kasome vizuri ibara ya 144 ya katiba