Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,887
- 141,520
"Guys, intellect over emotions, please. "
Comment ziwe fupi fupi.
Tatizo sio kuondolewa ila tatizo kuleta mtu Kilaza ambaye alishindwa kazi TRA aje aweze kazi kwenye ofisi nyeti ya umma kama hii?
Vyovyote itakavuokuwa whether amevunja katiba au la ila alichooifanya wazi wazi ni kutengeneza mazingira ya "plunder with impunity".
Huhutaji kuwa Mganga wa kienyeji au msoma nyota kujua kuwa Magufuri ana operate na watu wanaojua kulinda ufisadi wake.
Say whaaat?? Ina maana nimesoma na sijaelewa au?
Kwanza, CAG hajaondolewa. Ni kwamba hajateuliwa tena baada ya kumaliza muda wake wa miaka mitano. Hayo ni mambo mawili tofauti.
Lakini pia, tumeambiwa kwamba Rais Magufuli kavunja katiba kwa kumteua CAG mpya.
Hilo ndo suala linaloshikiwa bango.
Hiki unachokisema ni kutokana na sheria ipi au kanuni ipi?Vyovyote itakavuokuwa whether amevunja katiba au la ila alichooifanya wazi wazi ni kutengeneza mazingira ya "plunder with impunity".
Huhutaji kuwa Mganga wa kienyeji au msoma nyota kujua kuwa Magufuri ana operate na watu wanaojua kulinda ufisadi wake.
Nakubaliana na wewe intellect is all about thinking, reasoning and critical analysis of different matters na chuki ni emotions hivyo emotion na intellect huwa vina exchange katika utokeaji, ukitumia intellect, emotion inashuka ukitumia emotion intellect inashuka. Ndio maana tunashauriwa tusitoe maamuzi magumu tukiwa na furaha sana au tukiwa na hasira sana, kwasababu vitendo hivyo vinahusisha emotion sana kuliko intellect.Yes, Titty...
CAG kawa terminated
Kasome vizuri ibara ya 144 ya katiba
Katiba inaandika kuwa ni lazima aendelee kwa kipindi cha pili na baada ya hapo hataendelea tena na iwapo atafikisha miaka 60 ndani ya hicho kipindi atastaafu...Assad hajafikisha 60Kivipi kawa terminated?
Nimejaribu kupitia vipande vya katiba vinavyowekwa kusaidia kujenga hoja kwamba katiba imevunjwa, sijajua ni kichwa changu kizito au elimu iliyotumika kuandika katiba imenizidi kimo? Sijaona kwa haraka haraka mahali katiba imevunjwa. Vinginevyo wajuvi waje kutupa darasa.
Ikiwa katiba inaweka wazi kwamba CAG atahudumu kiti chake miaka mitano na anaweza kuongezewa muhula mwingine wa miaka mitano tu, kuna kosa asipoongezewa?
Hata mimi niliyeishia fom tuu nimeelewa kwamba, kama anaweza kuongezewa muhula mwingine wa miaka mitano basi pia anaweza asiongezewe.
Sasa sijui kigumu kueleweka hapo ni kipi hasa?
Katiba inaandika kuwa ni lazima aendelee kwa kipindi cha pili na baada ya hapo hataendelea tena na iwapo atafikisha miaka 60 ndani ya hicho kipindi atastaafu...Assad hajafikisha 60
Neno shall kwenye katiba linalazimisha appointment muhula wa pili
Kama akifikisha miaka 60 ndani ya kipindi cha pili atalazimika kustaafu na kuachia uCAGNi lazima aendelee kwa kipindi cha pili? Yaani ni lazima ateuliwe tena kwa miaka mitano?
Kama ni hivyo, yaani ni lazima aendelee kwa kipindi cha pili, kwa nini basi waweke kipindi cha miaka mitano mitano? Si wangeweka tu kuwa CAG atakaa miaka 10.
Tafuteni jingine.
Kama akifikisha miaka 60 ndani ya kipindi cha pili atalazimika kustaafu na kuachia uCAG