Intelijensia ya Chadema inazidi kukidhoofisha chama

Naamini akili yako pia ni mbovu kama sura uliyoiweka hapo kwani huna hoja ya msingi ila unasumbua tuu.intelijensia ya cdm inafanya kazi ndo mana wamebaini upuuzi wa ccm wa kchonga sms na kuwapakazia wabunge wa cdm.
 
Mimi ni CCM damu siku zote nakitetea chama changu kinapofanya vizuri na kukikemea kinapokosea. Hakuna hata siku moja nimepata pesa kwa kukitetea lakini nashangaa hapa JF unaambiwa umepewa pesa na Nape bila shaka CDM ndio itakuwa inatoa pesa maana jamaa mnatetea hata utumbo unaofanywa na viongozi wenu.[/QUOTE
Kweli wao ndio wanalipwa kupost hapa maana matusi Yao siyamtu anaeandika kwa hiyari yake Siku zote watendaji wakitu huisi nawezao wanatenda wayatendayo...
 
Tukitumia hoja ya nani alishinda wap na chama kikashinda wap na wabunge wakashinda wap basi kuna hati hati hoja yako ikawa mufilisi kamili.. Bunge limejaa ccm japo kura za Jk zilikuwa mufilisi. Nenda kigoma, urais jk ubunge nccr na diwan chadema.
Tafadhali Usi2toe kwny hoja. CCM walikaba kura zetu maana la sivyo mnyonge angenyongwa lakn haki angepewa
 
Vp ile intelijensia ya kova na lilejambzi la kikenya imefikia wap??maana hiyo ndiyo ya kwel
 
lakini viongozi wa Chadema wanashindwa kujua kuwa watanzania wa sasa si wajinga wa kuamini kila neno la mwanasiasa.
Mkuu Ritz, je hawa wanaaotajwa hapa chini ni Watanzania wa lini?

  1. Octoba 17, 2011 - CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata wanachama wapwa zaidi ya 50 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwemo aliyekuwa kada wa CCM kutoka kikosi cha Green Gurd Ayub Mlwilo mkazi wa Lujewa huku wengine 138 wakijiunga na chama hicho.
  2. Januari 22 - Wananchi wanachama wa ccm zaidi ya 960 walirudisha kadi zao na kujiunga na CHADEMA wakiongozwa a mwenyekiti wa kijiji,pamoja na vitongoji vyote vinne.
  3. Mei 1 - CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeendelea kukitesa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo juzi kilivuna wanachama wake 70.
  4. Mei 8 - ZAIDI ya wanachama 1300 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka mikoa ya Simiyu, Morogoro na Njombe wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
  5. Mei 21 - Katika mkutano aliohutubia Kamanda Godbless Lema zaidi ya wanachama 100 wa CCM walijiunga na CHADEMA.
  6. Juni 3 - CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekiliza tena Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuibomoa tena ngome yake baada ya kuwachomoa wanachama takriban 400, akiwamo Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Kata ya Enduleni, Cosmas Lakani.
  7. June 4 - CHAMA cha demokrasia na maendeleo,(CHADEMA),kimendelea kuzoa wanachama katika manispaa Tabora,safari hii kikizoa wanachama 52 toka kata mbili za Ikomwa na Kakola.
  8. June 7 - Katika Kampeni ya operation "Okoa Kusini", Abdallah Madebe, aliyekuwa Meneja wa Kampeni za Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Khalfan Barwan (CUF), alijiondoa katika chama hicho na kujiunga Chadema. Pia Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Mbanja kupitia CCM, Issa Shahame, pia alitangaza ‘kujivua gamba’ na ‘kuvaa gwanda’ la Chadema. Mbali na viongozi hao, wanachama kwa maelfu walijipanga mistari mirefu kununua kadi za Chadema baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara.
  9. Juni 10 - wanaccm zaidi ya 50 wa kata ya Ukonga walirudisha kadi za ccm, akiwemo kada maarufu wa ccm Mzee Bugingo awali alikuwa m/kiti wa wazee wa ccm kata ya pugu na muamasishaji, mzee Bugingo.
  10. Juni 18 - Katika mkutano uliofanyika juzi mjini Iringa Viwanja vya Kihesa Sokoni, wanachama zaidi ya 200 wa CCM akiwemo Katibu Mwenezi wa chama hicho Wilaya ya Iringa Vijijini, Yohana Mwena na Mjumbe wa Baraza la Utekelezaji la Umoja wa Vijana (UVCCM) wilayani humo, walirudisha kadi na kujiungana Chadema.
  11. Juni 23 - Mkutano wa Chadema Mto wa Mbu umepeleka kilio tena upande wa Magamba aka CCM baada ya wanachama wake takribani 300 kuvua Gamba na kuvaa Gwanda.
  12. Juni 29 - CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Arusha kimeendelea na operesheni vua gamba vaa Gwanda ambapo wilayani Monduli imefanikiwa kuvuna wanachama wa chama cha mapinduzi (CM) zaidi ya 700 wakiwemo mabalozi na wajumbe wa serikali za mitaa na vijiji 25.
  13. Julai 15 - CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kagera kimeisambaratisha ngome ya Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, baada ya kufanikiwa kuwahamisha viongozi na wanachama 80 wa CCM akiwamo kada maarufu, Dk. Benedictor Lukanima.
  14. Julai 16 - Huko Chunya Chadema yavuna zaidi 3000 ... kwa mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Mbeya mjini John Mwambiga ambaye ... chama chake kimefanikiwa kugawa kadi 3000 kwa wanachama wapya kutoka vyama mbali mbali.
  15. Julai 24 - CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Morogoro kimeendelea kuzoa wanachama kutoka vyama mbalimbali ambapo juzi jumla ya wanachama wapya 400 walijiunga na chama hicho.
Na haya ni kama manyunyu tu...bado sijataja Rukwa, Mbeya, Monduli, Musoma, Bukoba, Bagamoyo, Korogwe, Singida, Monduli, Tunduma, Iringa, Mtwara, Kisarawe...yaani dhoruba yenyewe baaadooo!
 
Last edited by a moderator:
Ritz hawa jamaa huwa unapima nao man alone!!
Hawakuwezi, mipovu na pumba tu ndizo zinazoonekana humu.
Pamoja mkuu.
 
Ndugu ,Chadema sio mchezo ,nakuahakikishia.Sio hapo tu ndani Tanzania.chadema world wide sasa.Tuna mambo mengi.Hatutaki kuongea hapa.kwani watu wanataka kujua nini chadema wanafanya kwa kuongea hapa.Subiri tu uone nini kitatokea 2015.Hatutalala mpaka kieleweke.
 
Hawa Chadema wana siasa za kubahatisha .

JK alisema CHADEMA ni chama cha msimu. Muziki wa uchaguzi ulipokolea akaanza kuweweseka na kuanguka majukwaani. Akaporomoka toka 80% hadi 40%, achana na matokeo yaliyochakachuliwa ya nec. Sasa nguo za ndani zinawabana kwa jinsi M4C inavyowakimbiza.
 
Chadema wanasema Intelijensia yao ndio imewambia kuwa hawana imani na Usalama wa Taifa na vyombo vingine vya dola, wakati huo huo wanajiandaa kuongoza taifa letu, je endapo watafanikiwa watatumia vyombo gani kama hawana imani na hivi vilivyopo... Hata hao waliopigania uhuru dhidi ya wakoloni walipopata uhuru walilazimika kuwatumia polisi wale wale waliofunzwa na mkoloni.

Subiri uone itakavyokuwa. Hakuna usalama wa Taifa kwa sasa, ila upo usalama wa ccm. Tutakapoiondosha ccm madarakani tutaunda chombo madhubuti na huru cha USALAMA WA TAIFA.
 
Wanabodi.

Chadema wanadai eti Intelijensia yao imenasa habari za kuwindwa na kuwawa wanasiasa watatu Slaa, Mnyika, Lema, pamoja na mtambo wa mawasiliano...madai ya aina hii mbali ya kuwa ya uwongo pia yanaonyesha kwamba hiyo Intelijensia wana tatizo kuu la kukosa uelewa na wamepotoka kwa kiasi kikubwa bila kujielewa.

Chadema wanadhani wanafanya makubwa kumbe wanajidanganya wenyewe wanaonyesha pia hawaelewi kabisa jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa wanadhani ni chama cha siasa ni wapinzani wao wanaweza kurushiana vijembe na maneno mengine ya kipropaganda.

Intelijensia ya Chadema ndio ilimletea habari Dr Slaa na kuwa alishinda uchaguzi wa rais na kumwangusha Jakaya Kikwete hata hivyo shutuma zao dhidi ya Usalama wa Taifa hazikupokelewa kwa uzito maana matokeo waliyoyakubali ya ushindi wa wagombea Ubunge yaliifanya hoja yao ionekane dhaifu. Watanzania wale wale waliokuwa wakipiga kura za kumchagua rais, ndio hao waliopiga kura za kuchagua wabunge..

Intelijensia ya Chadema inashindwa kuelewa nchi yoyote duniani yenye usalama huwa ni kutokana na sera ya nchi hiyo ya Ulinzi na Usalama na utendaji kazi wa vyombo vya ulinzi...maantiki ya kawaida inasababisha liibuke swali la msingi kwamba ikiwa Chadema ina viongozi wengi inakuaje wanne tu watake kuuwawa.

Chadema mbinu zenu za kutaka kuonewa huruma na wananchi na kupitia Intelijensia yenu inazidi kukidhoofisha chama chenu.

Ikiwa usalama wa taifa ni wengi inakuwaje kombe tu kuuawa? Ritz, umepewa kichwa kufikiri, usitumie kufugia nywele! upuuzi wote huu ulioupost hauna supporting evidence kuwa chadema wamedanganya!
 
Last edited by a moderator:
Ww mtoa mada ndio unazidi kudhoofika na kutoka kwenye udhaifu kwenda kuwa kiazi.chadema ipo imara sana.
 
Hoja hazina mashiko,mtu kupigia kura mbunge sio lazima ampigie na Rais wa chama hicho.kwa mfano hata kama ni mpinzani huwez kumnyima kura Dr mwakyembe,Magufuli nk lakini na bado kura za Rais ukapeleka upinzani.Watu wengi walifanya hivyo.Mimi ni mmojawapo
 
Ritz hawa jamaa huwa unapima nao man alone!!
Hawakuwezi, mipovu na pumba tu ndizo zinazoonekana humu.
Pamoja mkuu.

Mkuu Kobello hawa jamaa ni wafuata upepo tu hawana uwezo wa kuhoji chochote ndani ya chama chao wanachoambiwa na hiyo intelijensia wao wanakubali wakati mungu katupa kichwa kwa ajili ya kufikiri sio kufugia nywele, chama kaishawambia pia, sasa hivi wamekuja na tamthilia mpya ya mtambo wa mawasiliano.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz, je hawa wanaaotajwa hapa chini ni Watanzania wa lini?

  1. Octoba 17, 2011 - CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata wanachama wapwa zaidi ya 50 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwemo aliyekuwa kada wa CCM kutoka kikosi cha Green Gurd Ayub Mlwilo mkazi wa Lujewa huku wengine 138 wakijiunga na chama hicho.
  2. Januari 22 - Wananchi wanachama wa ccm zaidi ya 960 walirudisha kadi zao na kujiunga na CHADEMA wakiongozwa a mwenyekiti wa kijiji,pamoja na vitongoji vyote vinne.
  3. Mei 1 - CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeendelea kukitesa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo juzi kilivuna wanachama wake 70.
  4. Mei 8 - ZAIDI ya wanachama 1300 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka mikoa ya Simiyu, Morogoro na Njombe wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
  5. Mei 21 - Katika mkutano aliohutubia Kamanda Godbless Lema zaidi ya wanachama 100 wa CCM walijiunga na CHADEMA.
  6. Juni 3 - CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekiliza tena Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuibomoa tena ngome yake baada ya kuwachomoa wanachama takriban 400, akiwamo Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Kata ya Enduleni, Cosmas Lakani.
  7. June 4 - CHAMA cha demokrasia na maendeleo,(CHADEMA),kimendelea kuzoa wanachama katika manispaa Tabora,safari hii kikizoa wanachama 52 toka kata mbili za Ikomwa na Kakola.
  8. June 7 - Katika Kampeni ya operation "Okoa Kusini", Abdallah Madebe, aliyekuwa Meneja wa Kampeni za Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Khalfan Barwan (CUF), alijiondoa katika chama hicho na kujiunga Chadema. Pia Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Mbanja kupitia CCM, Issa Shahame, pia alitangaza kujivua gamba na kuvaa gwanda la Chadema. Mbali na viongozi hao, wanachama kwa maelfu walijipanga mistari mirefu kununua kadi za Chadema baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara.
  9. Juni 10 - wanaccm zaidi ya 50 wa kata ya Ukonga walirudisha kadi za ccm, akiwemo kada maarufu wa ccm Mzee Bugingo awali alikuwa m/kiti wa wazee wa ccm kata ya pugu na muamasishaji, mzee Bugingo.
  10. Juni 18 - Katika mkutano uliofanyika juzi mjini Iringa Viwanja vya Kihesa Sokoni, wanachama zaidi ya 200 wa CCM akiwemo Katibu Mwenezi wa chama hicho Wilaya ya Iringa Vijijini, Yohana Mwena na Mjumbe wa Baraza la Utekelezaji la Umoja wa Vijana (UVCCM) wilayani humo, walirudisha kadi na kujiungana Chadema.
  11. Juni 23 - Mkutano wa Chadema Mto wa Mbu umepeleka kilio tena upande wa Magamba aka CCM baada ya wanachama wake takribani 300 kuvua Gamba na kuvaa Gwanda.
  12. Juni 29 - CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Arusha kimeendelea na operesheni vua gamba vaa Gwanda ambapo wilayani Monduli imefanikiwa kuvuna wanachama wa chama cha mapinduzi (CM) zaidi ya 700 wakiwemo mabalozi na wajumbe wa serikali za mitaa na vijiji 25.
  13. Julai 15 - CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kagera kimeisambaratisha ngome ya Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, baada ya kufanikiwa kuwahamisha viongozi na wanachama 80 wa CCM akiwamo kada maarufu, Dk. Benedictor Lukanima.
  14. Julai 16 - Huko Chunya Chadema yavuna zaidi 3000 ... kwa mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Mbeya mjini John Mwambiga ambaye ... chama chake kimefanikiwa kugawa kadi 3000 kwa wanachama wapya kutoka vyama mbali mbali.
  15. Julai 24 - CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Morogoro kimeendelea kuzoa wanachama kutoka vyama mbalimbali ambapo juzi jumla ya wanachama wapya 400 walijiunga na chama hicho.
Na haya ni kama manyunyu tu...bado sijataja Rukwa, Mbeya, Monduli, Musoma, Bukoba, Bagamoyo, Korogwe, Singida, Monduli, Tunduma, Iringa, Mtwara, Kisarawe...yaani dhoruba yenyewe baaadooo!

Mkuu Mag3,

Naona umeamua kupanga Paragraphs ili kujiliwaza na kujifariji wewe pamoja na Chadema wenzako.
 
Last edited by a moderator:
Yaleyale ya kila siku huwa nakwambia wewe mzee busara zikutawale kuliko majungu, kwa hiyo hoja yako ya kura za urais na ubunge unanionyesha ni jinsi gani umechoka kufikiri, wewe unadhani watu tunachagua chama au tunachagua watu??
Mtu anaweza akachagua mbunge kutoka CCM na akachagua Rais kutoka chama tofauti na CCM hilo lipo na 2010 ilionekana wazi jinsi Dr.SLAA alivyokubalika zaid ya JK na hilo lipo wazi.
 
Mkuu Kobello hawa jamaa ni wafuata upepo tu hawana uwezo wa kuhoji chochote ndani ya chama chao wanachoambiwa na hiyo intelijensia wao wanakubali wakati mungu katupa kichwa kwa ajili ya kufikiri sio kufugia nywele, chama kaishawambia pia, sasa hivi wamekuja na tamthilia mpya ya mtambo wa mawasiliano.

Wewe ni lini umeihoji CCM??au ukada unakusumbua.
 
Last edited by a moderator:
hivi CCM wanabisha kwamba huo mtambo hauko kwao?mimi nina full info hata mkitaka stakabadhi ya manunuzi na mahali iliponunuliwa tuta produce,mat the moment is still too early to put each and everything on the table as the police intelligence unit is still working on it,ila tuko kamili na tutatoa ushiriako vizuri kabisa,mfano mfupi pia wa huo mtambo ni pale tarehe 9.06.2012 jagwani walipokuwa wanafanya mkutano wao CCM walituma msg hii kwa center number ambayo sio ya Tanzania +46730199100 ili kuwa danganya watanzania kwamba anayetuma msg yuko nje ya nchi na sio kweli na quote msg yenyewe
"Safari ya CCM kushinda uchaguzi 2015 inaanza leo DSM.wanaCCM wote imefika wakati sasa tuseme basi juu ya upotoshaji na propaganda za wapinzani.CCM HAITETEREKI"
Hapa pia mtabisha so CCM waliotuma hii MSG?

safi sana mkuu, hawa jamaa wa CCM wanatumia garama kubwa kuwahadaa wananchi tulio na akili timamu. Huyu mleta mada na wenzake wote ipo siku wataelewa tu.
 
Back
Top Bottom