Salaaam wakuu,
Katika kukakaa muda mrefu nikinufaika na nondo za mabingwa wa kuzitumia akili zao katika kuzifikirisha na kuleta mada ambazo zinasaidia kubadilisha mitazamo ya jamii, na Mimi nimeamua kuitumia fursa ile tuliyokuwa tunaisoma kwenye vitabu vya civics kwamba katiba yetu inaruhusu na kuheshimu Uhuru wa mawazo na kuamua kuandika hiki kitu lengo ikiwa kukutanisha mawazo yangu na wataalam ili kupata mabadiliko hasa ya kiuchumi.
Nimekuwa nikivutiwa sana kuufatilia ulimwengu wa inteligesia katika muvi na makala mbali mbali ingawa sijafanikiwa kuushuhudia katika Maisha halisi lakini kwa nilichokigundua kwa haraka ni kwamba ulimwengu wa intelligensia ukiugeuza kwenye Maisha ya kawaida ya utaftaji unaweza kufanikiwa kimaisha,hii inatokana na sifa mbali mbali zilizopo kwenye huo ulimwengu kufanana na zile za uwekezaji kama vile
1. PLANING
Nikisema planning hapa tunaangalia jinsi ambavyo matukio katika ulimwengu wa intelligentsia hupangwa kwa weledi mkubwa huku zikiwekewa plan A,B huenda mpaka C ili tu kuhakikisha kilichopangwa kinatimia kitu ambacho hisia zangu zinaniongoza kusema hata kwenye biashara ukitumia mbinu kama hii unaweza toboa.
2. MATIMIZI SAHIHI YA FURSA
Nikisema matumizi ya fursa hili suala ni gumu kwa kiasi chake maana wengi wetu tunazigundua fursa wakati kumeshakucha, pia huwa tunashindwa kuelewa kuwa tatzo pia ni fursa ,sasa kwa hawa jamaa wana ule mtindo wa kumuacha mtu awafanyie chochote hata kama kitawaathiri alaf ndani ya hicho kitu wao wanaibua fursa eg. wanaweza kuona kuna siri aiepukiki kuvuja kuhusu wao sasa na wao wanaicha ivuje tu alaf wao wanakaa mezani wanakwambia kitendo cha hyo siri kuvuja either imewapromote, au imemfanya adui awe na maadui weng nk
3. TIME MANAGEMENT
Inasemekana watu wa kwenye huu ulimwengu wanaithamini sana kila sekunde na wanakuwa na ratba zinazowaongoza hapa unaona hata kwenye biashara matumizi sahii ya muda tunafahamu kabisa ni chanzo cha mafanikio
4. MATUMIZI YA ALTERNATIVE
Hapa ukiangalia kwenye huu ulimwengu huwa wanakuwa na matumizi ya altenaves (mibadala) ili tu kuhakikisha walichokipanga hakirudi nyuma the same kwenye biashara nahisi matumizi ya alternative huweza kumpeleka mtu kwenye mafanikio
5. HUMAN RESOURCES
Hapa sasa ndo unaona zile connection wakihitaji muuza machungwa anapatikana akihitaji wakufanya KTU x chap na wanajua hata matumizi sahihi ya watu wasio wanaiteligensia katika kufanikisha shughuli zao
6. USHAWISHI
Hapa hawa watu wa huu ulimwengu wako vizuri ndio maana wanaweza hata kujifanya walevi, vichaa nk ili tu kupata pa kuanzia kazi zao na wanafanikisha kitu ambacho kwenye biashara pia nahisi ni muhimu, mwalimu wangu wa o level aliwahi kutuambia tusipende kusema pesa zimepotea ndo maana makanisani madiaba huwa yanajaa na badala take tufahamu kuwa pesa ziko kwenye mifuko ya watu na inahitajika nguvu ya ushawishi tu kuzibadili kuwa zetu ndo maana kuna wengine wanaenda maeneo ya stendi wanapiga sarakasi nk na waanatoka na hela.
7.USIRI
Hii ndio sifa yao kubwa ambayo imefanya hata Mimi ninayeandika hapa naandika vtu vya kuadithiwa, kusoma na kungalia ktka muvi tu lakini huwezi amini inasemekana usiri wao ndio chanzo kikuu cha mafanikio yao yaani ukisema upambane nao unakuwa unapambana na kitu usichokiona so unaweza kujikuta umemdhuru mwano, mkeo, mmeo nk
Nimeandika hii yote kulinganga na hadhithi zinazosimulia, muvi na majarida mbali mbali inavojaribu kuuchambua ulimwengu huu na kuufanya kuwa ulimwengu wa kuvutia sana kiasi cha kila mtu kutamani kuwa RAIA wa ulimwengu hii,na baadhi ya sifa nilizotaja za ulimwengu huu sio kwamba watu hawajajaribu kuzitumia katika Maisha yao ya kawaida ya utaftaji wamejaribu sana lakini wamejikuta wanaishia kushindwa na nafikiri ni kwasababu ya kukosa mazoezi(practice) juu ya wanachokifanya, yaani hapa namaanisha unakuwa unajarbu kufanya KTU lakini haukifnyi kwa ufasaha maana haujawahi kukiishi . karibuni kwa michango pia nakubali kukosolewa