Nakusahihisha Kwanza, hakuna Processor zinazoitwa ADM bali Kuna AMD na INTEL Processors. Mimi Nafikiri Intel wako vizuri zaidi. Kumekuwa na malalamiko ya watumiaji wengi wanaotumia AMD.