Umesahau vifurushi vilianza kupanda baada ya waziri mteule wa Magufuli kuagiza TCRA waweke bei elekezi za bundle?Jana, nimenunua 640 MB kwa sh. 1000 lakini kuamka asubuhi 350 MB Ni kwa hiyo 1000. Kwa hiyo gharama imepanda mara mbili ndani masaa machache. Yote haya Ni kwa sababu upinzani wa Rais upo mtandaoni.
Hili balaa lilianza Baada ya huyu Rais kuingia madaraki. Kutokana na kusemwa sana akaanza kupandisha virushi.
Enzi za Magufuli kwa sh. 500 unapata 1GB - 500 mb , na alisisitiza sana taasi za serikali kuhamia mtandaoni.
Hii ilichangia ongezeko la internet users.
Madhara ya kupunguza watumiaji wa intaneti Ni makubwa :-
Kuwa na lundo la wasomi wasioendana na kasi ya duniani (wasomi wa vitabu).
Uhaba wa ma-programmer
Mifumo itakuwa ni analog
Hivi Leo Kuna watu ni matajiri kutokana tu na kucheza game online, (Ninja).
Inakuaje??Mwenye ttcl aje na elfu kumi ya kitanzania atoke kwenye malalamiko..[emoji23]
Kama GB 1 sio kwa buku..basi nao walamba asali.Mwenye ttcl aje na elfu kumi ya kitanzania atoke kwenye malalamiko..[emoji23]
Una ttcl..? Kama huna usi reply tu!Kama GB 1 sio kwa buku..basi nao walamba asali.
Hapana, nipo na mafundi hapa tunajaribu kuangalia tatizo litakua wapi.We Zombie,
Mnara unafanya kazi vizuri , kweli?
Ndio ninayo.Una ttcl..? Kama huna usi reply tu!
Leta alfu kumi uache kupiga kelele!Ndio ninayo.
Wewe hujielewi aliyesema vifurushi havijapanda ni nani?Nimegundua kuongopewa ni rahisi sana.
Jaribu kufanya alichosema huyo alafu leta mrejesho. Vifurushi vimepanda sana wala halihitaji kuzungukazunguka
Hiyo ttcl , inashika vijijini ,Mwenye ttcl aje na elfu kumi ya kitanzania atoke kwenye malalamiko..😂
😂😂 Sasa unaniuliza mimi mi ndo ttcl..?🤣Hiyo ttcl , inashika vijijini ,
Au unaleta porojo zako
Vifurushi vilipanda mwaka Jana mwezi wa 4, baada ya malalamiko mengi mama Samia akaingilia Kati na vikarudi Kama ilivyokuwa.Umesahau vifurushi vilianza kupanda baada ya waziri mteule wa Magufuli kuagiza TCRA waweke bei elekezi za bundle?
Hivi watanzania tuna kumbukumbu fupi hivi?
Soma hiyo reply ya huyo jamaa alafu uone na nilichojibu na ww ulichokujanacho.Wewe hujielewi aliyesema vifurushi havijapanda ni nani?
Matumizi ya 3G na 4G yanaweza kuwa sawa? Utakuwa una tatizo kichwani.
Kwa vile umedanganyaKwa vile nimemtaja Maguful?
Au we ni mmojapo wa ma-Zombie?
Kweli Halotel walikuwa wanatuokoa.Hapa umekwepa tu ukweli
Halotel miezi michache iliyopita 4G halotel kwa sh 10000 ilikua GB 10. Sasa hivi GB 6.6
Hiyo sijui namba au sijui nenda kwa chini ni uongo.
Voda - kwenye ya kwako tu. Baadae ikawa 1000 kwa GB 1, baadae ikawa 1000 kwa MB 750, baadae ikawa 1000 kwa mb 550, sasa hivi ni mb 500.Kwa vile umedanganya
Lini GB 1ilikuwa 500??
Mie sina shida na mwendazake
Kwa mfano tigo kwenye size yako tsh 2000 unapata GB 1 na dakika 90 siku 7, ipo namba 9, usidhani naandika hapa kujifurahisha naijuwa vizuri michezo ya kampuni za simu.Soma hiyo reply ya huyo jamaa alafu uone na nilichojibu na ww ulichokujanacho.
Kweye hiyo reply haikuwa inahusu 3G Wala 4G, hiyo reply umesema kuna vifurushi huwa chini kabisa unabonyeza namba zaidi ya unazoona kwenye menu
Kwenye muda wa matumizi mkiambiwa mtumie 3G bado mnashupaza shingo, na bado kuna siku hizo mb zitakwisha ndani ya nusu saa tu.Voda - kwenye ya kwako tu. Baadae ikawa 1000 kwa GB 1, baadae ikawa 1000 kwa MB 750, baadae ikawa 1000 kwa mb 550, sasa hivi ni mb 500.
Ila hizo mb 500 zenyewe watahakikisha unazimaliza ndani ya masaa matatu