young genious
Member
- Aug 6, 2017
- 80
- 36
Hellow wana jamvi,
Samahanini kwa usumbufu, ningependa kufahamu ni combination/mchepuo gani ambao unaweza kusoma pale katika Chuo cha Kodi/Mapato. Na kama nimemaliza form four naweza nikasoma Chuo hiko bila ya kwenda A-level??[emoji122][emoji122]