Uyu ticha nimempenda sana
Teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeeeh, hizi instructions ni kwere
Yaani mi hapo natoka kwenye chumba cha mtihani baada tu ya kusoma hizo instructionsTicha ana mkara utazani ametoka jkt bhana. Material lazma yapotee
Kipindi nasoma chuo kuna lecturer mmoja alikuwa ana boa anatoa m.choice sasa ile kusoma inaboa so inabidi upige chabo kwa jirani unayemwamin ata kidogo.
Mkitoka kwenye pepa duu kumbe mitihani ilikuwa mitano tofauti tulifelii jeee
Huyu mwalimu hana maadili. Lazima atakuwa kama wale walimu wa Muhimbili miaka ya 1980 na 1990!