Institute of Data Audio & Vision Electronics

Gunda

New Member
Aug 1, 2008
3
0
Chuo kinachotoa mafunzo ya ufundi wa elekronika Arusha.
 

Attachments

  • Tangazo.JPG
    Tangazo.JPG
    110 KB · Views: 53
Mimi kama mtaalamu wa Electronics zaidi ya miaka 12,nnatilia shaka hiki chuo kuwa ni cha kitapeli
1 .Muda wa mwaka mmoja uwezi kumfanya mtu akawa fundi wa kila kitu cha electronic.(Be specific)
Circuit diagram ya TV aifanani na ya Radio japo TV ina circuits zilizomo ndani ya Radio.
2.Jina tu la Chuo linaonyesha kuwa aliyebuni jina la chuo ajui alitendalo(ni maimuna katika fani)
3.Ujaeleza kama Chuo kimesajiriwa na VETA
4.Tuwekee syllabus yako tuione.
USHAURI
Ni wazo zuri,lakini ili uweze kufanya vizuri unatakiwa kugawa kozi zako kama ifuatavyo
*TV and Radio Repair Technician. (Hapa unafundisha flat screen repair pia kwani CRT TV ndio zinaelekea kuzimu)
*Office Equipment repair (Computer,printer,Photocopies,scanners etc)
*Cellphone repair Technician(kozi hii ina levels) zipo level 3. Hapa kama unataka kuwa mkweli toolz zake za workshop ni kama dola 100,000
Hapa unafundisha solving software related problems,and Hardware related problems.Mwanafunzi afikie uwezo wa kutofautisha aina ya tatizo with in a minute wakati anaicheki simu husika
*TV antenna installer (hapa ufungaji madish na Yagi antennas installation),ufungaji wa antennas system kwa mahotel,mabaa na majumbani na tofauti zake. Mfano hotel inayotaka kuwa na 20 channels kila chumba na Nyumba yenye TV moja na dish 2 na atenna moja ni vitu viwili tofauti.
Ni hayo tu. Kama upo makini ni PM nikupe ushauri juu ya kufanya hiki chuo chako kuwa cha ukweli na sio cha kitapeli.
 
Back
Top Bottom