Ewe Prof Moyo, unaendeshaje chuo bila kuwa na Prospectus 2017/2018? Mwongozo wa academic affairs ni upi? Where do you derive your academic mandate/MWONGOZO? Almanac 2017/2018 iko wapi?
Mwanafunzi anaongozwa na nini KATIKA ACADEMIC AFFAIRS? Nini kifanyike na nini kisifanyike chuo kinaongozwa na nini particularly academically in the year 2017/2018?
Hakuna kitu duniani kinaitwa 2015/2016-2017 katika academic institutions, higher learning institutions!!. Hakipo, huo ni uvivu wa kutukuka!
BUSINESS AS USUAL