Wadau, naombeni msaada kwa wenye kufaham hii kitu, nimenunua king'amuzi cha zuku full, na kukipeleka kijiji huku wilaya ya nzega, nimejaribu kutafuta fundi wa kunifanyia installation imeshindikana, je inawezekana ku-install mwenyewe? Na kama ndio naombeni mwongozo
je umelipa package? kama ni ndiyo chukua kikaratasi kimo kina mxhoro jins ya kufunga zen ukimaliza tafuta sehemu ya kufunga ambapp panakufaa ila uelekeo ni mashariki hakikisha lnb uko horizontally chekecha dish I utapata

Sija lipa, maana wakala aliniambia nitapewa ofa ya mwezi mmoja, lkn ofa hiyo atairuhusu pale nitakapoweza kuset dish na kupata zuku zone.
Pia hiyo lnb nitajuaje km ipo horizontal maana ni ya duara. ASANTE