Installation ya printer kwenye windows 7 royale xp

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
7,333
3,896
wajuzi jamani nimeshindwa kufanya installati kwenye window 7 royale xp, printa yangu ni hp laserjet p 2015. Installation naifanya kupitia network. Inapofikia kwenye kuchagua product, selection nnayoipata inaishia hp laserjet p2015. Pliz naomba msaada!
 
Hiyo window 7 royale xp sio operating system ila ni theme tu ya window xp so cha kufanya nenda kwene contol panel uiondoe ili ibakie xp pekee yakke re start machine then install hizo driver za hiyo printer inaonekana hizo driver za hiyo printer haiko compartable na hiyo theme ya window 7 royale xp.
 
Back
Top Bottom