Installation problem

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,910
Reaction score
2,710
Naombaeni msaada wakuu. Nikitaka kuistall apps nilizotumiwa kwa cm transfer zinaniambia there was a problem of parsing this file kama sijakosea. Naombeni mnisaidie maana Nina files nyingi sana ambazo zipo pending.
Shida ya pili ni kuwa nikiweka SD card ubora wa picha na video unapungua sana au kushindwa kabisa kufunguka au kuplay.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Asanteni
 
jaribu kutumia file manager kama es file explorer sometime built in inazingua kuinstall apk

hio sd imetoka wapi? na hizo pic mwanzo zilikuwa na quality nzuri?
 
jaribu kutumia file manager kama es file explorer sometime built in inazingua kuinstall apk

hio sd imetoka wapi? na hizo pic mwanzo zilikuwa na quality nzuri?
SD nimenunua na tatizo la picha limekuja baada ya kuweka hii sd card. Acha nijaribu na file manager kama ulivyoshauri mkuu
 
SD nimenunua na tatizo la picha limekuja baada ya kuweka hii sd card. Acha nijaribu na file manager kama ulivyoshauri mkuu
angalia pia quality ya hio sd card na resolution ya video/picha.

camera yako ni megapixel ngapi? au mpaka video za kudownload zinapungua quality
 
angalia pia quality ya hio sd card na resolution ya video/picha.

camera yako ni megapixel ngapi? au mpaka video za kudownload zinapungua quality
Shida sio mega pixels maana hata picha ninazodownload zinaaribika. Alafu issue ya installation bado inakataa hata nilipotumia super file manager. Nikiverify kwa package installer ndio inaniambia there is a problem of parsing file na nikitumia avast haziendelei kabisa.
 
hio ant virus yako haiblock? kama camera yako ina megapixel kubwa na memory card quality yake ni ndogo lazma video haitatoka vizuri. mfano memory card yako ni class 4 ambayo unaweza kuwrite hadi 4MBps (in real life ni kama 3MBps) kama camera yako inazidi 1080p video zake ujue memory card itakuwa tatizo. jaribu kwenda setting za camera halafu eka quality ndogo zaidi
 
Unatumia simu gani?? Weka apps sawa na android version yako mkuu..pia hakikisha hizo apps zmekua full. Yani hakukua na incompleteness katika utumaji wako
 
Mara nyingi "Error while parsing the package" inatokana na compatibility issues (Version ya Android inakuwa haiendani na requirements za installation,mf. app yenye installation support kuanzia Android 5.1, itaonyesha error hii ukiinstall kwenyr version ya Android 4.4 kurudi chini)
Pia, inawezekana application package yako (.apk file) ikawa corrupted.
 
Naona tatizo litakuwa hapo kwenye compatibility issues.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…