Msaada low internal memory problem-android device

NIGGA

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
1,239
639
Habari wakuu,
Nina ka android cheap device from china,internal memory imejaa ila nimeweka SD-Card ya 8GB,Tatizo nashindwa kudownload More Apps
Naombeni mnisaidie jinsi ya kutatua hili tatizo hili ninyonye apps za kutosha from google playstore,
Natanguliza shukrani
cc chief-mkwawa Kang ThinkPad
 
Last edited by a moderator:
kamakangu u8650 haikubali app zikae kwenye sd card naona viko restricted kwamba app zote zinaweza kuistaliwa kwenye internal memory tu! embu tungoje wataalamu waje!.
 
Inategemea na simu na version ya android na app yenyewe.
Nenda kwenye setting application kisha chagua app unayotaka kuiweka SD card kama kuna option ya Move basi inaweza kwenda SD kama hakuna haiwezi, hapo ni kudelete baadhi ya apps tu hakuna jinsi.
 
mkuu option ya kumove to sd card ipo bt fuctionless saabu comand yake haina k2 inakua empty.

Kuna applications ambazo ukiweka kwenye external sd card zina run na nyingine hazina uwezo huo hivyo hazitaweza kumove from internal to sd card cha msingi nunua simu yenye internal memory kubwa ujipe furaha au ingia application setting chagua option ya clear data kwenye applications zinazochukua memory kubwa itakusaidia kimtindo
 
Back
Top Bottom