mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
nimecheki google lkn anaetumia anieleweshe zaidi kwa kiswahili
simu gani inaweza kuapply instagram?:flame:
simu gani inaweza kuapply instagram?:flame:
nimecheki google lkn anaetumia anieleweshe zaidi kwa kiswahili
simu gani inaweza kuapply instagram?:flame:
maswali kama haya yanajaza forum while you can google.
nimecheki google lkn anaetumia anieleweshe zaidi kwa kiswahili
simu gani inaweza kuapply instagram?:flame:
whatis intagram?
ni mtandao wa kijamii unaomilikiwa na facebook, inc. ni mahusus kushea picha....
simu gani zinatumika
simu zinatumia instagram ni zenye ios na android
kwa maelezo zaidi soma >>>>>>>> Instagram - Wikipedia, the free encyclopedia
maswali kama haya yanajaza forum while you can google.
sure mkuu vitu vingine sio hata vya kuanzishia thread
Aisee mpaka maswali kama haya yanaletwa hapa.
Bora ungeuliza tukufumdishe jinsi ya kugoogle search
There are no Stupid Questions Just Stupid Answers.....
Kumbuka google ni search engine na kwa yeye kuuliza hapa hili jibu pia limewekwa kwa watakao-google kesho watapata jibu kutokana na swali lake, ila kwa bahati mbaya badala ya kukutana na jibu watakuta kejeli
There are no Stupid Questions Just Stupid Answers.....
maswali kama haya yanajaza forum while you can google.
From the definition of the word this are some of the meaning..kwa kuniquote u mean my answers is stupid, right?
Mbona unatoa majibu ya nyodo hivo!! Jamaa kauliza af wew unajifanya mjuaji na kumuona mwenzako mburura.Au wewe mshomile?