Instagram ni nini?

Instagram ni nini?

maswali kama haya yanajaza forum while you can google.

Nadhani hakuna ubaya mtu kuuliza kitu ambacho hakijui anawasaidia na wengine.
 
Nadhani hakuna ubaya mtu kuuliza kitu ambacho hakijui anawasaidia na wengine.

nimekusoma mkuu, mnisamehe wooote kama nimewakwaza kwa jibu langu
 
C6 , Remote and utakuja... Kuna tofauti ya ku google na ya kuelezwa hapa. Kumbukeni si wote tupo vizuri katika lugha ya kiingereza ambayo ndio imetumika google kueleza 'Instagram' kama ilivyo kwa a lot of other Programs. Na hata Google Translater ain't that good.

So it was simply mtu kujibu yeye anaelewa nini kuhusu Instagram, ananufaikia vipi (ili muulizaji aelewe namna ya kunufaika) na ni yepi ambayo yapo na huwa hayaelezwi wazi kuhusiana na hilo.

mansakankanmusa kama ulivyoelezwa na C6 katika post yake ya 5. Ila take note yenyewe Instagram kama imeelemea upande wa 'Picha' zaidi na kuzishare hizo picha. Na sasa hivi wameleta kitu kipya kinaitwa 'Instavideo'.

AshaDii najua umezaliwa na busara nyingi umenielewa na asante kuwajibu, yaani umeeleza sawasawa, kiukweli, hata lugha ya kitehama ni ngumu wakuu, tusiwe wepesi kujibu uchafu
 
mimi sijui na wala sitaki kujua,kuna whats up na yenyewe sijui ni nini,sitaki kujua maana nasikia watu wanakuwa addicted
 
There are no Stupid Questions Just Stupid Answers.....

Hivi wakuu kuna sehemu wanakojibu hili swali kwa kiswahili ? Unajuaje kama muhusika ameshindwa kuelewa huko sababu ya lugha ?, pili huko pote kuna interactivity yoyote ? yaani kama ana swali la nyongeza kutokana na jibu anaweza kulipata hapo hapo ?

Kumbuka google ni search engine na kwa yeye kuuliza hapa hili jibu pia limewekwa kwa watakao-google kesho watapata jibu kutokana na swali lake, ila kwa bahati mbaya badala ya kukutana na jibu watakuta kejeli


upo sahihi kabisa mkuu.
 
diunal kila nikijaribu kukujibu kwa nyodo nafuta naandika upya, uwe na weekend njema mtu wangu wa nguvu, usiwe unatokea wakati wa kuponda comment za watu tu, uwe unasaidia kujibu hata kuchangia mijadala ili jukwaa lipendeze au sio mkuu?

Toa rejea ya madai yako....otherwise hoja yako kapuni
 
Last edited by a moderator:
Mi natumia galaxy young siipati app yake kweny google play au haina app?
 
Hivi mna ugomvi na face book?[/QUOTE
Ni ufinyu wa fikra tu kila mtu yupo fb na sio dhambi wala utoto kua fb rais gan duniani hayupo fb? Mtu gan dunian maarufu hayupo fb? Vichwa vyote vya dunia hii kuanzia kina jobs mpka gates wapo fb.. Hao kina maxy wenyewe founders wa jf wapo fb sasa mtu anayeiponda fb na kuitukuza jf namshangaa sana cz zote ni social network sites zote zinatumiwa na watu wa rika zote zote kuna ya kujifunza na upuuzi pia ingawa globally huwez compare ukubwa wa fb na jf.
 
There are no Stupid Questions Just Stupid Answers.....

Hivi wakuu kuna sehemu wanakojibu hili swali kwa kiswahili ? Unajuaje kama muhusika ameshindwa kuelewa huko sababu ya lugha ?, pili huko pote kuna interactivity yoyote ? yaani kama ana swali la nyongeza kutokana na jibu anaweza kulipata hapo hapo ?

Kumbuka google ni search engine na kwa yeye kuuliza hapa hili jibu pia limewekwa kwa watakao-google kesho watapata jibu kutokana na swali lake, ila kwa bahati mbaya badala ya kukutana na jibu watakuta kejeli

watu wenye mitazamo kama yako ni wachache sana mkuu, watanzania tuache kudharauliana, mimi mwenyewe nimejifunza kupita hii thread, sasa wewe unaejiona unajua kila kitu,hao waloweka mjibu google nao wangekuwa na majibu kama yako msaada ungeupata wapi.
 
Hivi mna ugomvi na face book?[/QUOTE
Ni ufinyu wa fikra tu kila mtu yupo fb na sio dhambi wala utoto kua fb rais gan duniani hayupo fb? Mtu gan dunian maarufu hayupo fb? Vichwa vyote vya dunia hii kuanzia kina jobs mpka gates wapo fb.. Hao kina maxy wenyewe founders wa jf wapo fb sasa mtu anayeiponda fb na kuitukuza jf namshangaa sana cz zote ni social network sites zote zinatumiwa na watu wa rika zote zote kuna ya kujifunza na upuuzi pia ingawa globally huwez compare ukubwa wa fb na jf.
Righto my rafiki nafikiri watu waanze kuchuja watu wanaotaka wasocialize nao kwenye hizi social media ,mi niko fb kitambo na friends zangu wote ni respectable, watu tunaoshare mambo murua kabisa.
na hao wanaoponda fb ndio wale waliokuwa wanadhani ni tija kuwa na 'friends 1000++' wao wakiangalia picha ya mtu tu wana m-add halafu hao "friends zao'wakianza kupost madudu wanalalamika!
 
humu ndani utoto mwingi sana...mnaacha kujibu hoja mnabaki kutukanana, kila mtu anaonyesha ujuaji wake. kweli tutafika!
 
Point mkuu kwanza binafs naona hii situation ya kua na anonymous ID hapa jf ndo kunafanya watu wawe na tabia za ajabu na utoto kuliko hata kule fb. Mtu mzima ana mke na watoto utamkuta kule sijui chit chat au MMU anaongea utumbo mambo ya kipumbavu kisa anajua hajulikan ila asingeweza kuchangia hayo fb cz yuko known to everyone anaona aibu. Hapa jf kuna thread za watoto wa miaka ya 90 na wazee wa miaka ya 47 lakin huwez jua tofauti ya michango yao.. wote wako sawa kisa hawajulikan tu.
All in all JF ipo kwa manufaa ya elimu na ufaham pia connections lakin sio kwamba walioko hapa ndo great thinkers kuliko walioko FB binafsi nafaidika na kote.

Righto my rafiki nafikiri watu waanze kuchuja watu wanaotaka wasocialize nao kwenye hizi social media ,mi niko fb kitambo na friends zangu wote ni respectable, watu tunaoshare mambo murua kabisa.
na hao wanaoponda fb ndio wale waliokuwa wanadhani ni tija kuwa na 'friends 1000++' wao wakiangalia picha ya mtu tu wana m-add halafu hao "friends zao'wakianza kupost madudu wanalalamika!
 
Tungechukua ili swali la jamaa kama changamoto ya kuongeza resources kwenye Wikipedia yetu ya kiswahili.Maana hata jibu langu niliotoa nimeona la kijinga.
Wikipedia ya kiswahili ikiwa ina vyote naona maswali kama haya yangepungua
 
Mi natumia galaxy young siipati app yake kweny google play au haina app?

acha kupotosha watu wewe, ipo bana, Galaxy Y najua ina run Android 2.3.6 kwanin igome, au Memor Card yako umeweka. ya 15Kb?
 
Back
Top Bottom