Daaa nimecheka sana
Umejuaje kama BADO HAJADINDA..?? Kusema kidume mwenzako bdo hajadinda unaleta mashaka kdgKijana boya....ni kweli Mbasha ni dume la mbegu toka mkoani....umeninukuu vibaya tu....nilikuwa nawazungumzia kina Ben Kinyaiya na shoga lake Martin bado Hajadinda. Siku zingine soma vizuri kabla ya kutuma ujumbe.
hahahahahahaha
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
Kwa kweliAhsante Numbisa umejua kunifurahisha kwa uzi murua kbc [emoji23][emoji23][emoji109]