Instagram kuna mambo

Instagram kuna mambo

29717515_155207695148218_7076843860164345856_n.jpg
 
Kosa la tununu kumkaribisha mange kwenye maisha yake ipo siku yakimcharuka atatukana hadi watoto wa tununu kisa tu anataka kuicontrol ile familia yote
Nimesikitika Mange kumuita mama Hamisa hana akili dah hana adabu huyu popoma.
 
Kosa la tununu kumkaribisha mange kwenye maisha yake ipo siku yakimcharuka atatukana hadi watoto wa tununu kisa tu anataka kuicontrol ile familia yote
Japokuwa nina mapungufu ila Tununu kazidi bibie anaonekana kumtengeneza mwanaume wake hawezi kazi kuvuruga mahusiano ya watu ana moyo yaani anajua kabisa danga lake yuko na mahusiano mengine tena ya pika na kupakua bado anaingia aisee 🤣🤣🤣🤣shida haina adabu hasa ukikataa kujishughulisha hata kuuza tembele.
 
Na vile ana timu wasiojielewa mambo hayo ya kawaida mno,tena wanamshauri amchune vizuri kigezo duniani hakuna mwanaume wa peke yako aiseee. Tununu hana shida ila mvivu wa kutafuta vyake,kila kukicha tunaona mapicha picha ya ubalozi na deals sijui pesa anapeleka wapi sasa daah

Hata kama duniani hakuna cha peke yako ila wivu lazima labla yeye shida kwake pesa,Asije kuishia kama Wema Sepetu.
 
Yale mazoezi ya kushow pozi la picha,huyo anakosa vyakula vya maana ili akonde avutie mzungu mwingine
Mange alipo fikia mwili wake bora apunguze mazoezi dah mifupa mitupu.
 
Back
Top Bottom