Aiseeee unamzuka balaaaaa.....utapotea ovyo sanaHajaolewa ni binti mbichi kabisa...
....teh hee hee...mshauri tena mangi asisahau kupima oilHAHAHAHA woyee ana genye tu hana lolote
Kwani kuna ubaya gani kushiriki vyote hivo?stori ndefuuuuu... sasa kanisani na insta wap na wap... anyway... all the best
Ntapotea kivipi sasa mkuu? Je, kuna mahali nimekosea?Aiseeee unamzuka balaaaaa.....utapotea ovyo sana
Hayo yatafuata usijaliMe nikajua mkakutana, mkapendana, mkafunga ndoa na sasa mnatarajia kababy,
Kumbeeee blah blah.
Pathetic.
jARIBU KUVUTA SUBIRA KAKA .KAMA NI MPANGO WA MUNGU UTAFANIKIWA TUWasalaam waleikum,
Narejea tena jamvini hapa baada ya maswaibu mazito yaliyonikuta kwa takribani wiki mbili zilizopita. Acheni kabisa jamani, kuzaliwa mwanaume kweli mateso. Anyhow, kizuri ni kwamba siku zinaenda na Mungu anazidi kutujalia neema ya uhai ambayo ni zawadi kubwa sana ambayo hatuipi thamani inayostahili.
Nilkuwa kanisani jana misa ya asubuhi kweli imenibariki sana. Kanisa langu ni la kilokole na huwa mahubiri kuna siku yanaongozwa na mmoja wa waumini. Hivo jana alisimama dada mmoja alitoa mahubiri ambayo yalinigusa mpaka kwenye sakafu ya moyo wangu. Kwa sababu mahubiri ya jana yaliendana kabisa na changamoto nilizopitia kwa yakribani wiki mbili zilizopita. Na ndio maana nikasema nimeshinda hizo changamoto kwasababu mahubiri ya jana yalinipa sababu na kuniponya yale niliyokuwa napitia kwa hizo wiki mbili.
Aisee na kwale ambao sio regular churchgoers napenda kuwaambia kwamba haya makanisa ya kiroho yana mchango mkubwa sana katika maisha yetu. Kama morali yako ilikuwa ipo chini na ukapata mahubiri mazuri au ukahudhuria kwenye nyumba ya ibada hakika kuna mzigo utautua. Na hilo nililishuhudia hiyo siku ya jana. Tumaini pekee lipo pale unaposikia habari za Mungu. Unakuja kugundua kwamba mambo ambayo ni magumu yanakutokea sasa yalishawatokea watu zamani kabisa na unaona ni jinsi gani waliweza kuyashinda. Bila shuhuda kama hizo zinazopatikana kwenye mahubiri ya vitabu vya Mungu, hakika unaweza kuona mwisho wa maisha umefika just kwa kupatwa na tatizo fulani tu kama yaliyonikuta ndani ya wiki mbili zilizopita. Nilikuwa kwenye hali ambayo siwezi kuieleza na labda huko mbeleni ntaweka bayana.
Kwisha kusema hayo, napenda moja kwa moja kwenda kwenye mada iliyo mbele yangu. Ni kwamba wanajamii wenzangu kama kichwa cha habari kinavosema, nimekutana na mtoto mzuri sana huko Instagram.
Najua wanasema 'beauty lies in the eyes of beholder' ila kwa kweli huyu binti aweza kuwa mzuri sana mbele ya macho ya wengi. Nikiwa kwenye msukosuko ndani ya hizo wiki mbili zilizopita niliacha kabisa ku visit social media ya aina yoyote maana situation was worse. Ila kuna siku jioni nikiwa nimetulia, kuna mtu ni rafiki yangu kabla hajafanya jambo lolote lazima ani consult.
Sasa alikuwa ameniambia 'bro kuna issue ya kutengeneza pesa online naona inatangazwa sana huko Instagram, embu naomba unifanyie utafiti usikute ni wizi' mimi kwakua nipo negative na haya masula ya pyramid scheme moja kwa moja nikamuambia huo utakuwa ni wizi tu hakuna kitu kama hicho. Yaani hutoe pesa kidogo tu halafu uje kuvuna mamilioni?
Anyway, kwakua napenda sana kutafiti mambo nikaamua kuifuatilia hii issue huko Instagram. Kweli bana kuingia tu Insta nikaona kuna watu kibao wameipost kwenye account zao. Sasa kuna post moja nikaamua kuingia huko na kucomment kuhusu hiyo issue. Ila nikajisemea 'hapa ntachafua hali ya hewa kwamba hii kitu ni wizi mtupu" nikaanza mashambulizi ya kuwatahadharisha kuhusu hiyo issue. Sasa kila nikicomment nashangaa kuna Id inanijibu kwa kunipinga, kwamba ile issue ilikuwa ina ukweli.
Mimi nikaendelea kucriticise kwa mara nyingine, na ile ID ikanijibu tena. Ila nilishtuka sana maana niliposoma comment yake nilihisi kitu fulani na kwasababu intelligensia yangu ni ya kiwango cha juu nilipoirudia kusoma ile comment nikagundua alikuwa ni Ke. Na sio hivo tu, bali aliandika comment yake kwa namna ambayo ilinifanya nimuweke katika kundi fulani.
Bila kupoteza muda nikaamuambia ani DM namba yake ili nimcheki anieleweshe vizuri. Akafanya hivo na soon nikaanza kumtext, ikawa hiyo siku tumechat mpaka night kali huku taratibu niki diverge maongezi kutoka kwenye ile pyramid scheme. Maana mi huwa siamini kwenye "get rich quick scheme" ishakuwa philosophy yangu tayari.
Sasa kwa siku chache tayari nimeandaa mazingira ya ukaribu na huyu mrembo ikiwa ni pamoja na kuexchange mapichaz, yaaani full hatari everything is near perfect. Napia tumeweza ku share jokes za hapa na pale ili nizidi kumzoea zaidi. Kwa kweli naweza kusema nimefanikiwa kiasi maana mpaka sasa tupo kwenye hatua nyingine kabisa ila sema sasa tupo mikoa tofauti. Lakini kwa jinsi nnavyowasiliana nae kuna uwezekano tuka meet kwa siku chache zinazokuja.
Nimeamua kumuandikia thread huyu mrembo kwa sababu kwa muda mfupi sana ameweza kuchukua nafasi kubwa sana ya moyo wangu na nimewaza anaweza kuwa ni 'game changer' nikizingatia kwamba ana sifa karibu zote za mwanamke mzuri na pia ana potential ya elimu kitu kikubwa nnachothamini sana kwa mwanamke. Halafu pia nikiangalia mazingira niliyokutana naye ni kwa bahati mbaya maana nilikuwa kwenye kipindi kigumu sana. Kitu kinachonifanya nitake kuamini 'she might be the Daisy among weeds'
Naweza kuwa nimeandika kwa kufunikwa na jinsi huyu mrembo alivo na inawezekana labda nnayoyapanga yasitokee ila nataka kusisitiza kitu komoja. Huku kwenye social networks kuna warembo jamani Daaaaaah. Acha kabisaaaaa
Ndio inabidi uchukue muda kidogo kumsoma.......uko faster sanaNtapotea kivipi sasa mkuu? Je, kuna mahali nimekosea?
Unajifunza kuwa mtunzi wa hadithi au unasomea uandishi wa habari?Wasalaam waleikum,

But the advantages of it the man he learnt a lesson quite well, how can we learn our mistakes if we dont try, everything happens for a reason......mwanaume mmoja alimpenda sana DAISY did everything for her lakini he ended up dead because of her na akaishia kuishi na mwanaume mwingine........F.SCOT FITSGERALD "the great gatsby" 1922 ni kitabu
Tafuta movie inaitwa awalk to remember aisehhhhh acha tu, mimi my weakness ni kwenye kudondosha machozi am so emotional, hiyo movie iliniliza kwa kujazwa na hisia kaliNtakitafuta hicho kitabu, asante sana mkuu umeniongeze kitu... ila itakuwa story nzuri sana
Inahusu nini? mapenzi na usaliti?Tafuta movie inaitwa awalk to remember aisehhhhh acha tu, mimi my weakness ni kwenye kudondosha machozi am so emotional, hiyo movie iliniliza kwa kujazwa na hisia kaliView attachment 365932
Huwa naandika sana hata nikiwa nje ya JF ndo mana nimezoea. So kwa sasa nina uwezo fulani kwenye uandishi ingawa sijawahi kusomea chochote juu ya uandishi. Nimesomea masuala ya kiuchumi na huko pia nna utaalam. But, ukiona kuna waandishi wanahitajika mahali unaweza nishtua, naweza sana kuandika halafu napenda sanaa ya uandishi.Unajifunza kuwa mtunzi wa hadithi au unasomea uandishi wa habari?
okay hapo nimekuelewaNdio inabidi uchukue muda kidogo kumsoma.......uko faster sana
Hahahaa ina maana hata avatar hukuiona?Kumbe huyu mleta mada ni wa kiume....mimi nilijua ni wakike kwa jinsi hio ID yake inavyoitwa...