muongozaji
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,386
- 1,004
Sawa mkuu. Kila la kheri. Kuwa makini though!
Nina raha sitaki kusikia, by the way way siangalii hata tvNdicho nilichokifanya na mimi... fake upendo utaishi kwa raha sana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] what nextHuko instagramun kuna warembo sana nimekutana na mmbongo anaishi Australia aiseeee mtoto wa kike mrembo sana ndio nafait kumweka sawa mwez wa9 atakuja bongo nasubir tu aje
Kila la heri mkuu na nakupongeza sana kwa hatua uliyopiga. Sasa huyo wa Australia atakuja na tu dollar kidogo. Mtengenezee mazingira umchune kidogo pia pesa ya kula mishkaki sio mbaya, wanatoaga.Huko instagramun kuna warembo sana nimekutana na mmbongo anaishi Australia aiseeee mtoto wa kike mrembo sana ndio nafait kumweka sawa mwez wa9 atakuja bongo nasubir tu aje
I don't know[emoji15] [emoji15] [emoji15] what next
mwanaume mmoja alimpenda sana DAISY did everything for her lakini he ended up dead because of her na akaishia kuishi na mwanaume mwingine........F.SCOT FITSGERALD "the great gatsby" 1922 ni kitabu
Anyway basi acha nijitahidi nimalizie halafu nitajibu.Vip mkuu yaani page moja tu inatia uvivu?
Sasa baby,mimi nimekonda hasa,yaani kwani wewe ukinijibu japo kwa maneno matamu utapungukiwa na nini?.Jiulize...tupo wangap??..??
Mushi ruiya masaa. Lakana na findo ufyoo.Unaweza kuwa sahihi mkuu.. ila ndo hivo nsha fall in looove
Mjombaangu huyu ana tabu kweli kweli....Mushi nunua gazeti ujipepee.....
Ha ha haaaTukishawachakaza ndio wanajiremba wanakuja hukoo...utagundua baadae.
Ninasubiri mrejesho braza kakaOndoa hofu na mimi ndugu, najielewa kabisa.
Bora umwambie weweyan ndo kwnza ata haumjaonana daaah kazi kweli hiki kizazi, naona huu ni mtongozo wa mwendokasi, mpk unaanzisha thread humu unamsifia et mrembo mkali sana wkt ata hauja muona live, be care mr. mushi
Pia ipo movie yake imeigizwa na Leornado di..mwanaume mmoja alimpenda sana DAISY did everything for her lakini he ended up dead because of her na akaishia kuishi na mwanaume mwingine........F.SCOT FITSGERALD "the great gatsby" 1922 ni kitabu
Nilivomuona nilishaassume tupo wengi ndo sasa namvuta kwangu..Jiulize...tupo wangap??..??
Aaah yule bado yupo mkuu.. sasa unajua wanaume tupo mawindoni mda mwingi. Kwa hiyo ametokea huyu kampiku yule. so yule sasa tunampotezea. wachumi wanasema unapo move kwenye higher indifference curve ndo satisfaction inaongezeka. Upo hapo ndugu?...teh hee hee..yani we mangi sijui ni balehe changa au ndo umeruka stage kama lemutuz!
...na yule wa JF iliishiaga wapi hivi