Instagram hii, tabu tupu

Unaweza kuta maisha yamemfanya avae hata ya Mke wake
 
Ni shidaah, kwa mtindo huu tukisema mtoto siyo riziki atalalama?!!!
 
Bikini za wanaume zipo saana tu jamani msiwe washamba.... Sema kwa sababu tumezoea kuvua wadada ndo mnashangaa...
 
Bikini za wanaume zipo saana tu jamani msiwe washamba.... Sema kwa sababu tumezoea kuvua wadada ndo mnashangaa...

Hizo hata zikiwepo mi sivai, we kile kimkanda kinaingia katikati kabisa si mambo ya ufirauni hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…