Sio kila security detail huwa inawekwa public. Kwenye nchi iko hivyo, kwenye majeshi iko hivyo na kwenye Software Development iko hivyo. Inaitwa "The Principle of Security by Obscurity". Nilitarajia uwe unafahamu hilo. The only way ya kutuaminisha hilo linawezekana ni kwa wewe ku penetrate kwa hiyo brute force.
Akaunti ya kampui yetu insta ni hosannaht
Ivamie kama uhakikisho kwetu nasi hatutakushtaki popote. Vinginevyo ina maana haipenyeki, at least wewe huwezi kupenya kwa hiyo brute force attack!
"Haina maana kwako na kwa wengine ambao hawajathubutu kuiexperiment, hivo sina budi kujisumbua kujiprove kwenu ninyi ambao hamjaitumia na pengine hata mmeshindwa kuitumia.
Sihitaji kuacknowledge my skills before mtu yeyote bro.
What nilichotaka ni kushare nanyi hiyo module. Hivo basi kama utaipuuzia, we baki kuipuuzia wapo watakaoweza kuitumia. Nmeelezea procedures namna ya kuitumia na kama kuna mtu mwenye pentesting skills ataweza kujiongeza.
Ni hayo tu.
Bado huelewi alichoandika. Wewe unang'ang'ania tu haiwezekani.hakuna aliekukatalia brute force haifanyi kazi, unachokataliwa wewe hapa ni instagram na brute force, na ndio kitu ulichokuwa ukikitetea mwanzo na mimi na wengine walikuwa wakisema haiwezekani.
anyway kama umekubali site kama insta, FB na nyengine kubwa huwezi kuzibrute force basi mjadala umeisha.
Wataishia kukupa links za blogs tu. Hakuna mtu kati ya hawa anayeweza kufanya scientific derivation kuthibitisha wanachosema.Sijakubali kwamba haiwezekani kuzibruteforce, nafasi ya kuzibrute na kuweza kufanikiwa ipo. Wewe kama unasema haiwezekani nipe ushahidi Instagram au FB wametumia policy ya aina gani kucompletely prevent Bruteforce. Ila kama hacker bado it's possible kubrute kutokana na so many downsides za each method ya kumitigate Bruteforce kama zilivofafanuliwa na OWASP - Blocking Brute Force Attacks - OWASP . Hivo unayebisha kwamba bruteforce haiwezekani ulete namna ambayo Instagram/FB wanaitumia 'kuondoa kabisa' threat hiyo.
kwa logic yako akitokea mkichaa akasema ana uwezo wa kutengeneza meli ndani ya sekunde 1 halafu mimi nikashindwa kuthibitisha kwamba hawezi ina maana ni kweli yule mkichaa anaweza tengeneza meli ndani ya sekunde 1?Wataishia kukupa links za blogs tu. Hakuna mtu kati ya hawa anayeweza kufanya scientific derivation kuthibitisha wanachosema.
So unadhani screenshot inaweza kuverify kwamba mtu amehack account ya mtu? Yaani na hapo unasema hupendi blah blah! Kweli screenshot ambayo inaweza hata kutengenezwa itakuwa ni ushahidi?mkuu huwa mimi sipendi blah blah na siasa, naipenda Technology sababu ni kitu ambacho kila kitu kina proof, humu hakuna kudanganyana kama watoto.
kama unasema inawezekana ni wewe ndio unatakiwa ku prove, na angalau ungeprove hata kidogo kwa screenshot kwamba umeweza kubypass mambo yote hayo unayotuambia kwa thoery.
hata screenshot ya hio program hatujaiona, hebu tuekee basi practically unavyofanya, sio lazima ufanikiwe angalau tu tuone matumaini.
Does this relate na kutengeneza meli? How close are these two arguments?kwa logic yako akitokea mkichaa akasema ana uwezo wa kutengeneza meli ndani ya sekunde 1 halafu mimi nikashindwa kuthibitisha kwamba hawezi ina maana ni kweli yule mkichaa anaweza tengeneza meli ndani ya sekunde 1?
So unadhani screenshot inaweza kuverify kwamba mtu amehack account ya mtu? Yaani na hapo unasema hupendi blah blah! Kweli screenshot ambayo inaweza hata kutengenezwa itakuwa ni ushahidi?
nimekuuliza swali unanijibu swali? nasubiria jibuDoes this relate na kutengeneza meli? How close are these two arguments?
Nimekuuliza unadhani hoja tunayojadili hapa ina ufanano wowote au ulinganifu na kutengeneza meli kwa sekunde moja? Ni logic gani inayokuaminisha kuwa hoja tunayojadili hapa angalau inakaribia na kutengeneza meli kwa sekunde?nimekuuliza swali unanijibu swali? nasubiria jibu
Sio kweli kuwa kataja bruteforce tu. Ukisema kitu fulani hakiwezekani, onyesha ni kivipi hakiwezekani.
Wewe unafanya makusudi kupotosha kwa kuinsist just a bruteforce. Nikuulize, ukiambiwa ukaue jambazi kwa kutumia bunduki, maarifa pekee utakayokuwa unatumia ni kufyatua risasi? Kama utahitaji skills zingine in combination na kutumia bunduki ni zipi?
Mimi sio hacker, ninachohoji hapa ni arguments. How did you achieve to a wrong 100%?
Wewe ni hacker? Ulishawahi kuhack nini?
Umeprove vipi kuhack Instagram kwa bruteforce in combination na skills zingine haiwezekani? Kwa nini wewe unang'ang'ania bruteforce tu wakati kataja kitu zaidi ya kimoja? Je, ukishindwa kuhack mfano, JF, ni kwa sababu it can't be hacked au ni kwa sababu ya limitation ya uwezo wako?
Kama password yangu ni character + symbols+ singns+ number's jumla znafika 301. unaporudia password mara nyingi website za kisasa zinakublock au zinaku suspend kwa muda fulani.
2. password moja yenye charachter zaidi ya 8 inaweza ikakuchukua miaka kadhaa kuipata, pengine hadi umri wako wote hadi unakufa kuna baadhi ya password utashindwa kuzipata.