Manchris Jbisd
SPAMMER
- Apr 9, 2013
- 691
- 495
Mimi ningekushauri uanze na wkipedia: Brute-force search - WikipediaMshaongea meengi. Haya sie mbugila mbugila tumekuja .
1, naomba kujua kama bruteforce inafanikiwa kwenye 2-factor (2 way ) login, inayohusisha kutuma login code kwa nambari ya simuga muhusika kwa njia ya sms.
2. Pia kuna mafanikia gan kwenye brute force kwa mfano nimetumia a very complex password which is case sensitive , mfano ; w1ndows7-S_1-2016 (hii ni mfano wa password nalitumia kipindi cha nyuma)
3. Linapukuja suala la zile password kukosewa mara tatu inakuaje..
Nb; napenda kujua tu, sina uzoefu na coding na Bahati mbaya INTRODUCTION TO C++ , niliishia kupata C ya kuvukia semester tu.
Just so you'all know,
HACKING IS RELATIVE. and so are the methods for that.
Kuwa hacker ni kuwa creative katika 'udukuzi', baas. Hakuna njia moja pekee ya ku-hack. Halafu hata ukiipata, kumbuka kila siku watu wenye systems zao wanahangaika kuboresha usalama. Hivyo bas kudhani kwamba utakuwa hacker kwa njia moja, ni upotofu.
First of all, computer is a logical system. A good hacker knows the computer/system as it is. Au kwa urahisi tu, bas unapaswa ujue how things work and find a way to get around. So understanding is important.
Hakuna somo la hacking, kama vile tu hakuna somo la utapeli. Kwa maana kwamba situation huwa ni tofauti kwa kila scenario.
Unaweza uka-hack account hii instagram tofauti na nyingine. Hiyo inatokana na mambo mbalimbali, kama ukaribu wa unayem-hack, ukubwa wa password anayotumia, n.k.
For instance unatumia brute force, the smaller the number of character, the easier it gets.
Hapo utaona, hacking is relative. You may or may not need a particular technique. Mfano, kuna account niliisimamia ambayo ilikuwa ni rahisi kui-hack kwa brute force, with a little patience. Lakini kuna ambayo niliwekeza muda kuipa security ya kutosha. Na zote ni za instagram.
You need to think. Lets say you cant hack an account, lakini you can access email yake huyo mtu, bas its simple tu pale kwenye password recovery. Ikishindikana hapo, you may know a secret question ya email, hivyo itakusaidia ku-hack email. Usipojua jibu la hilo swali, still you may do a little social engineering, kum-manipulate upate jibu, maadam swali unalijua. You see, ways goes on and on until you find a weakness.
Kwa hiyo, hacking is relative. There are unlimited ways for hacking and at the same time none, depending on a situation.
Nadhani hacking ni creativity yako tu katika ku-solve puzzles. Nina-recommend watu wa-solve puzzles mbalimbali, itasaidia.
Speaking of bruteforce, its still relevant, but its effective pale inapotumiwa na other methods kama za social engineering.
So, you wanna be a hacker, THINK!
Mkuu acha kuni-mention, reply yangu ya mwisho ilikua clear kua ndiyo ya mwisho kwenye hii thread. Huu mjadala haunisaidii chochote so nimeamua kujitoa.Mimi ningekushauri uanze na wkipedia: Brute-force search - Wikipedia
Kabla tunamsubiri Graph, mtaalamu wa graph theory, cryptography na advanced IT security engineer.
Njia zako za kuvizia mkuu!Binafsi naamini sana kwenye Social Engineering, maana hapo target akijikoroga tu ameuwawa😀😀. Ni njia rahisi sana hasa kwa kumtengenezea phishing mail za kutosha na fake page nyingi ili akilog in ww unacapture his/ her password., then mchezo umeisha, kwa brute force utatumia mda mrefu sana .
Njia nyingine rahisi na ambazo watu wengi hufanyiwa bila kujijua ni
Eavesdropping
View attachment 603860
Shoulder surfing
View attachment 603861
Etc
Njia zako za kuvizia mkuu!
Just so you'all know,
HACKING IS RELATIVE. and so are the methods for that.
Kuwa hacker ni kuwa creative katika 'udukuzi', baas. Hakuna njia moja pekee ya ku-hack. Halafu hata ukiipata, kumbuka kila siku watu wenye systems zao wanahangaika kuboresha usalama. Hivyo bas kudhani kwamba utakuwa hacker kwa njia moja, ni upotofu.
First of all, computer is a logical system. A good hacker knows the computer/system as it is. Au kwa urahisi tu, bas unapaswa ujue how things work and find a way to get around. So understanding is important.
Hakuna somo la hacking, kama vile tu hakuna somo la utapeli. Kwa maana kwamba situation huwa ni tofauti kwa kila scenario.
Unaweza uka-hack account hii instagram tofauti na nyingine. Hiyo inatokana na mambo mbalimbali, kama ukaribu wa unayem-hack, ukubwa wa password anayotumia, n.k.
For instance unatumia brute force, the smaller the number of character, the easier it gets.
Hapo utaona, hacking is relative. You may or may not need a particular technique. Mfano, kuna account niliisimamia ambayo ilikuwa ni rahisi kui-hack kwa brute force, with a little patience. Lakini kuna ambayo niliwekeza muda kuipa security ya kutosha. Na zote ni za instagram.
You need to think. Lets say you cant hack an account, lakini you can access email yake huyo mtu, bas its simple tu pale kwenye password recovery. Ikishindikana hapo, you may know a secret question ya email, hivyo itakusaidia ku-hack email. Usipojua jibu la hilo swali, still you may do a little social engineering, kum-manipulate upate jibu, maadam swali unalijua. You see, ways goes on and on until you find a weakness.
Kwa hiyo, hacking is relative. There are unlimited ways for hacking and at the same time none, depending on a situation.
Nadhani hacking ni creativity yako tu katika ku-solve puzzles. Nina-recommend watu wa-solve puzzles mbalimbali, itasaidia.
Speaking of bruteforce, its still relevant, but its effective pale inapotumiwa na other methods kama za social engineering.
So, you wanna be a hacker, THINK!
Thats right!Mimi nakubaliana na wewe kuwa hacking inahitaji a combination of skills. Kuhack computer system maana yake lazima ujue inafanyaje kazi, kuhack web au forum kama JF lazima ujue vizuri sana engineering yake hasa backend, namna server zinavyocommunicate na browsers, etc.,. Hacker ni mtu anayejifunza kila siku.
Mimi nina wasiwasi mkubwa na wewe, kwamba wewe ni IT security expert lakini unaamini zinazohackiwa ni websites za kijinga? Au unaamni kuwa system ni imara haziwezi kuwa hacked, kwamba hazina flaws?
Tupe urls za GitHub repositories zako tuone ulichocontribute kwenye security. Acha maneno.
Thank you.Kwanza, Pongezi kwako!
Pili, Nisaidie kuwaelewesha na watu wengine wanaodai ati kuhack instagram na mitandao mingine katika miaka hii kuanzia 2017 ni kitu haiwezekani.
"Kamwe bruteforce kwa instagram will never work."
Seriously, hacker hawezi kukubali kuwa ameshindwa hata target awe mgumu kiasi gani! Mimi nawasi wasi na hawa watu wanaojitokeza kubishana humu na kuleta point zao ambazo hazina mashiko kabisa!
Mtu eti anargue kabisa kwamba ati bruteforce haiwezekani 2017? Really? Bado anakuambia yeye ni expert wa IT Security? Kwani Instagram wananini cha zaidi cha kushinda huge Web Applications nyingine ulimwenguni?? Kwan wao system zao hazina flaws?
Unataka kuproove kuwa wewe ni IT Security expert kwa contributions zako GitHub? TF? Kwani wangapi wanacontribute mle, that means kwamba hata wao pia ni IT Sec Experts???
I think it's time we reason and think far beyond our nose! Sio kubishana tu, bisha leta na fact.
Bruteforce would never be obsolete, If you are not a hacker or mwenye uzoefu na field hii ya IT Security hutaweza elewa KAMWE! Because hackers wanasit down everyday designing ways how to bypass hizo mnaziita 'secured system'. Ni wazi kuwa hakuna 100% secured system, because hata hivyo zinatengenezwa na hawa hawa wanadamu wenye flaws.
JF Expert mmoja anasema eti,
"kitu ambayo mleta thread alipresent mwanzo ni tofauti na ambacho anakitetea sasa hiv.all arguments zimetokana na mtoa mada kudai unaweza hack intstagram sasa hiv kwa bruteforce.kitu ambacho kwa 2017 ni 100% wrong."
huyu jamaa alipata uexpert huo kwa point za kijinga anazoziandika andika kama hizo? Ni wapi niliposema kwamba unahaweza hack instagram kwa bruteforce tu? Nilitoa tool tu, na ghafla watu kuanza kuponda kwamba huwezi hack instagram kwa bruteforce.
Hajui ya kwamba Instagram ama web app nyingine zinaweza kuhackiwa through a thousand ways moja wapo ni bruteforcing, ambayo nayo ni rahisi na effective unaweza kuapply S.E iliku-make bruteforcing more effective. Sasa hawa raia wengine waliojulia bruteforcing na little-bit hacking juzi kati ndio wanasumbua 'watu' waliotulia zao sahivi wakifanya real-pentests.
Acheni ubishi usio na mantik', kajifunzeni zaidi jinsi ya kuwrite exploits na kubypass 'secured-systems' ndo mje mlete facts hapa.
Tofauti ya IT experts wa bongo hasa wa Tanzania na wale wa quora pamoja na stackoverflow ni kwamba IT wa bongo wao wanaamini kwamba wanajua kila kitu kuliko wenzao na hawawezi kosea!! Na siku zote wanajiweka juu...
Wakati wale wa stackoverflow na quora hata kama anajua basi atakua mpole na kumsikiliza mwenzake na kumrekebisha pale inapobidi tena in a positive way!!! Na hutasikia matusi wala kubehi kati yao...
Hii ndio tofauti ya tech arguments za jf (IT wa bongo) na arguments za wenzetu huko majuu hasa wa quora na stackoverflow!!
Tubadilike watanzania wenzangu wengine tunajifunza humu...
Kwa kweli ulivhokisema ni kweli, tunahitaji kujishusha ili kujua zaidi na zaidi, IT wa Bongo tubadili tabiaa
Ni kweli na ndio maana hata hatusogei katika viwango vikubwa zaidi, because kila mmoja anajiona kuwa yeye ni expert zaidi, na anajua zaidi kuliko wenzake. Ushirikiano == 0%
Mi kiusema kweli napenda sana kujifunza zaidi na zaidi, yani haipiti hata day sijasoma kitu katika field yangu ya cyber sec. At least naweza nikafahamu habari nyingi na mautundu zaidi.
Explain why will never work. Kwa sababu a single guess hata out of trillions ina probability yake ya kupatia kitu. Naamanisha nini? Naamanisha probability ya kuguess password sio zero. Kwa hiyo umepataje hiyo wrong 100% ?kitu ambayo mleta thread alipresent mwanzo ni tofauti na ambacho anakitetea sasa hiv.all arguments zimetokana na mtoa mada kudai unaweza hack intstagram sasa hiv kwa bruteforce.kitu ambacho kwa 2017 ni 100% wrong.
from no where mtoa mada kaanza kuzunguka kuwa hacker akishindwa one way atatafuta another way.Hiyo ni sahihi kuhack instagram kwa other ways like phishing etc etc lakin sio kwa bruteforce ,this is 2017 dude.
Kamwe bruteforce kwa instagram will never work.