Inspirational story: Raphael Logistics, largest heavy lift company in Tanzania

Mtu unajisifia una GPA Kali au Masters wakati hata kuanzisha Genge unaogopa.
wee ishia hapo hapo.. tehe. Au basi ngoja nikaanzishe hilo genge halafu nikuskie unalalamika mwanao leo hajafundishwa kiswahili kisa mwalimu wake mie nimeanzia sokoni temeke stereo kuchukua malighafi za gengeni.
 
vizuri lakini chukua muda ujilidhishe kidogo usifanye conclusion kwa surface information mkuu.
Otherwise Jamaa ni mfano wa kuigwa na kupongezwa.

Wewe umesema "umesikia" mimi nakwambia ninafahamu, hata huyo mleta hana taarifa za kutosha!
 
hizi ndio story tunataka kuzisoma na kusikia kuhusu watanzania wenzetu wanapiga maendeleo.Sio story za kina wema,lulu na wengine wajinga wajinga.
Cha ajabu Watanzania hawataki kukubari, wanaona Ni miujiza isiyowezekana! Wanasema Muitaliano sijui alimpa vifaa, ili kuhalalisha umasikini wao kuwa kifo cha wengi!
 
Kuna jamaa mmoja Raia wa uturuki, amefungua ofisi yake ambayo anafanya shughuli za uuzaji wa uPVC (doors and windows) Aluminum (doors and windows) pamoja na makapeti ya ndani ya nyumba.

Hii ofisi yake hipo maeneo ya Boko, Dar es Salaam na amefungua hii ofisi mwaka Jana tu.

Alianza na Frame mbili, kama ofisi na "showroom" hapo hapo.

Ila sasa hivi biashara imekuwa na ameongeza frame nyingine (zimekuwa tatu), ofisi imekuwa na showroom imekuwa, ameongeza bidhaa mbalimbali za kituruki na kichina.

Nikawa interested kujua, ameanzaje hadi kufika pale, akaniambia kwamba yeye alikuwa anafanya kazi hiyo hiyo kwa waturuki wenzake mjini, kwa muda mrefu tu.

Akaniambia ikafika muda akaona ni bora afungue biashara yake, ndio akafuangua hapo. Akaniambia hana mashine ya kutengenezea uPVC (windows and doors), lakini anatafuta hizo kazi na akipata kazi ya mteja anaenda kwa wenye mashine na wanamtengenezea, yeye anaweka margin yake hapo na siku zinakwenda na ofisi inakuwa.

Sasa huu ni mfano ambao unaweza kuufanabisha na Raphael. Raphael alianza kidogo kidogo huku anakuwa, huku anatafuta tenda/kazi.

Je ni vijana wangapi hapa ambao mpo kwa wahindi au wachina au waturuki mnafanya kazi mwaka wa 5 huu na mnajua A-Z anachofanya huyo muhajiri wako, lakini wewe kijana unakosa udhubutu?

Tatizo letu tunapenda kumshangaa mtu akishafanikiwa bila kujiuliza alipoanzia na tukiambiwa alipoanzia tunakuwa wagumu wa kuamini na kutotaka kujifunza.
 
I agree with you, tatizo vijana wengi hawataki kuwaza nje ya box, kuna vitu wanaona haviwezekani, binafsi nnaamini hakuna kazi au biashara flani eti ukiifanya ndo utatoboa, Mimi naamini kile unachofanya ukikifikilia kwa Mapana yake kinakutoa!
 
wabongo wengi ni wavivu hatupendi kuumiza kichwa.. hata biashara tunapenda kuigana igana tu.. hatupo creative..

mtu fanya unachokipenda na unachokijua sana ni rahisi kutoboa..

raphael ametajirika sana kwa forklift sabab anazijua vizuri maana yeye mwenyewe ni taaluma yake...

sasa unakuta mtu mhasibu kwa kupenda kuiga iga nae anakopa hela ananunua forklift lazima afeli tu...

inshort jamaa ni mkali ana vision sana pamoja na kutajirika ame stic kwenye vitu anavyovipenda only... yeye ni fork lift tu na heavy lift ndipo anapoweka hela zake.. hafanyi biashara asiyoipenda wala kuijua

I agree with you, tatizo vijana wengi hawataki kuwaza nje ya box, kuna vitu wanaona haviwezekani, binafsi nnaamini hakuna kazi au biashara flani eti ukiifanya ndo utatoboa, Mimi naamini kile unachofanya ukikifikilia kwa Mapana yake kinakutoa!
 
Habari wadau...

Ni vizuri tukawa tunashare inspirational stories kwa ajili ya kujipa nguvu katika utafutaji..

Binafsi nimefanya kazi kwenye logistics company kubwa tu hapa tz kwa miaka mingi... bollore africa logistics, na hii imenikutanisha na stake holder wengi sana wa logistics industry nchini..

Na katika key people wanaoplay part kubwa kwa kutoa huduma zinazoisapoti industry yetu Isonge mbele ni kampuni ya Mr Raphael Tesha , mchaga, x forklift driver by proffessional with more than 10 yrs experience kama fork lift driver yeye mwenyewe... na baadae CEO and founder wa raphael logistics tanzania limited.. ambayo aliianzisha baada ya kuacha kazi ya kuajiriwa pale AMI miaka kazaa iliyopita.

Kiukweli jamaa ameniinspire sana baada ya kuona huduma yake, vifaa vyake, na hata performance yake kwenye mikataba. na nilivyosikia ni darasa la saba tu.

kwa haraka haraka ana crane zisizopungua 20, trucks za transit na local za kumwaga, na kuajiri watanzania zaidi ya 100...

kwa mnaomjua zaidi ni vizuri mkashare siri ya mafanikio ya huyu jamaa ili nasi vijana tujifunze zaidi kutoka kwake..

Maana nimeona heavy lifters trucks
zake mpya ambazo zinashusha container kwa remote control kama mtoto anacheza game nikaogopa kwa kweli kuambiwa jamaa anaemiliki ni la saba tu.

Dereva anakuja alone tu anashuka kwenye gari lake na ki remote tu unamuenesha container la kushushwa au kupakiwa... yeye analicheki na anaanza kulishusha au kulipakia kwa remote yake tu akiwa chini hii ni hatari kwa kweli...

Ni vizuri vijana tujifunze kutoka kwake jinsi ya kujiajiri kwa mafanikio kuliko kuilalamikia serikali tu kila siku. darasa la saba kuajiri graduates ni aibu sana kwa kweli na inaonesha chuo kikuu tunafata ma bundle ya chuo tu sio kuelimika

ana mikataba kila sehem , ticts, tpa, tanesco, bollore, scania, mantrac na bandari kavu zote nchini, migodini etc... inaonesha watu wanakubali kazi zake ni bora...

ni kijana mwenye miaka 37 kwa sasa... mzaliwa wa 1979 huko moshi... ana utajiri unaokisiwa kufikia bilion 50.

vijana wa mjini hii motivation kwetu why wakuja wanakimbiza. na wasomi pia hii ni motivation why tunaowazidi elimu wanatukimbiza..

miaka 37 ya msomi wa chuo kikuu bado anatumwa tumwa tu ofisini anasubiri kutumbuliwa jipu, bado amepanga nyumba, bado anashindwa saidia ndugu zake sabab mshahara mdogo, hii ni aibu.
wengi tumejisahau, tumeshindwa kuwa wabunifu hata kuongoza familia zetu tu ni mtiani.
 
Nilisikia mtaji alipata kwa ndugu zake wanaoishi nchi za nje, maana wenzake wamepiga shule na wana hela za kutosha, wanaishi ng'ambo
 
Inatia moyo kwa kweli mm mwenyewe najivunia baada ya kumaliza degree nilijuajiri wale tuliomaliza nao chuo nawatimulia vumbi
 
Back
Top Bottom