shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
Habari wadau...
Ni vizuri tukawa tunashare inspirational stories kwa ajili ya kujipa nguvu katika utafutaji..
Binafsi nimefanya kazi kwenye logistics company kubwa tu hapa tz kwa miaka mingi... bollore africa logistics, na hii imenikutanisha na stake holder wengi sana wa logistics industry nchini..
Na katika key people wanaoplay part kubwa kwa kutoa huduma zinazoisapoti industry yetu Isonge mbele ni kampuni ya Mr Raphael Tesha , mchaga, x forklift driver by proffessional with more than 10 yrs experience kama fork lift driver yeye mwenyewe... na baadae CEO and founder wa raphael logistics tanzania limited.. ambayo aliianzisha baada ya kuacha kazi ya kuajiriwa pale AMI miaka kazaa iliyopita.
Kiukweli jamaa ameniinspire sana baada ya kuona huduma yake, vifaa vyake, na hata performance yake kwenye mikataba. na nilivyosikia ni darasa la saba tu.
kwa haraka haraka ana crane zisizopungua 20, trucks za transit na local za kumwaga, na kuajiri watanzania zaidi ya 100...
kwa mnaomjua zaidi ni vizuri mkashare siri ya mafanikio ya huyu jamaa ili nasi vijana tujifunze zaidi kutoka kwake..
Maana nimeona heavy lifters trucks
zake mpya ambazo zinashusha container kwa remote control kama mtoto anacheza game nikaogopa kwa kweli kuambiwa jamaa anaemiliki ni la saba tu.
Dereva anakuja alone tu anashuka kwenye gari lake na ki remote tu unamuenesha container la kushushwa au kupakiwa... yeye analicheki na anaanza kulishusha au kulipakia kwa remote yake tu akiwa chini hii ni hatari kwa kweli...
Ni vizuri vijana tujifunze kutoka kwake jinsi ya kujiajiri kwa mafanikio kuliko kuilalamikia serikali tu kila siku. darasa la saba kuajiri graduates ni aibu sana kwa kweli na inaonesha chuo kikuu tunafata ma bundle ya chuo tu sio kuelimika
ana mikataba kila sehem , ticts, tpa, tanesco, bollore, scania, mantrac na bandari kavu zote nchini, migodini etc... inaonesha watu wanakubali kazi zake ni bora...
ni kijana mwenye miaka 37 kwa sasa... mzaliwa wa 1979 huko moshi... ana utajiri unaokisiwa kufikia bilion 50.
vijana wa mjini hii motivation kwetu why wakuja wanakimbiza. na wasomi pia hii ni motivation why tunaowazidi elimu wanatukimbiza..
miaka 37 ya msomi wa chuo kikuu bado anatumwa tumwa tu ofisini anasubiri kutumbuliwa jipu, bado amepanga nyumba, bado anashindwa saidia ndugu zake sabab mshahara mdogo, hii ni aibu.

Raphael Tesha: a true entrepreneur from the very beginning was born in Moshi on February 12th, 1979.
After secondary school, he started his professional career by becoming a forklift operator. He was soon recognized as a very skilled operator and became also operator on other equipments such as bobcat and low tonnage cranes.
Then he decided to use his professional skills in its own company and started his business by saving money to invest in a first 3 tons forklift to be put on hire. His success was on its way, adding soon a second forklift on hire after 6 months. The combination of hard work, entrepreneurship initiatives and bank financial support allowed him to extend his fleet year after year and to employ over 120 people as of now.