Inspirational movies

THE PASSION
Hii movie ni balaa yesu anatembea juu ya maji jamaa anakufa anafufuka siku ya tatu dah
 
Kuna moja iv ya zaman inaitwa THE WRESTLER jamaa anastaafu mieleka ila kutokana na maumivu na addctions-drugs alizokuwaaanatumia kipindi cha mieleka anaamua kurud ata kama umri umeenda
 
Yule director movie zake zote nzuri
 
Faulting of our stars,
The promise 1980,
Pursuit of happiness,
Beyond borders,
Great debators,
12yrs a slave,
Hope,
The Vows,
Kuna moja ya Angel Jolie mtoto wake anapotea kisha maaskari wanamletea mtoto mwingine wanamwambia ndo mwanae,

Higher learning,
Hawkshaw ridge - (msabato jeshini)

Apocalypto

The diary of Benjamin Button

The diary of tired black woman( T Perry)

The pianist

Blood diamond

etc etc
 
Ofcz mkuu blood diamond ilikuwa kwny list yangu kichwani
 
Iyo ya angelina jolie nahsi inaitwa changeling kama sijakosea
 
Duh hiyo movie noma kila kipengele kitamu
 
"Pursuit of Happiness"
Hakuna movie iliyogusa hisia zangu kama hii toka dunia iumbwe.
Zipo movie nyingi nzuri sana tena sana.
Lakini kwa case ya inspiration hii inabaki kuwa movie bora kwangu wakati wote.
Maisha ya ughaibuni ni mazuri kama una kitu ila ni fukara hakuna rangi utaacha kuiona.
 
Huyu dogo aliact movie moja nzuri sana yan inasisimua vibaya mno yan kuna stage inafika unataman ata kulia nliiona mwaka 2013 natamanigi niirudie ila nshaisahau jina
 

Attachments

  • FB_IMG_1512495901060.jpg
    34.8 KB · Views: 36
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…