hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 540
Hahaha ofcz nayo hii movie ilikuwa kichwan mwanguCast Away ya Tom Hanks. Anasurvive ajali ya ndege baharini na kuanza kuishi alone kwenye kakisiwa kaduchu kinoma.
All is lost ukisikia kupambana na hali yako basi ni hii movie.Dingi alikuwa ana sail solo na boti yake ikagonga contena na kutoboka. Survival technics za humo ni balaa.
Ofcz humu ndani mwshon maadui wanaamua kumkubal kuwa jamaa n shujaa wanaamua kumuacha 2 aende zakeapocalypto, bonge la movie ukituliza akili. Nlipenda ile passion ya maadui na the way starring anavyotufundisha kuwa stronger
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikoje mkuu"Pursuit of Happiness"
Hakuna movie iliyogusa hisia zangu kama hii toka dunia iumbwe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa unataka kusimuliwa movie au?Ikoje mkuu
[/b]Cast Away ya Tom Hanks. Anasurvive ajali ya ndege baharini na kuanza kuishi alone kwenye kakisiwa kaduchu kinoma.
All is lost ukisikia kupambana na hali yako basi ni hii movie.Dingi alikuwa ana sail solo na boti yake ikagonga contena na kutoboka. Survival technics za humo ni balaa.
Toa ushawishi sasa ili mtu mwingine nae aiwatch ,,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa unataka kusimuliwa movie au?
Sent using Jamii Forums mobile app
"Pursuit of Happiness"
Hakuna movie iliyogusa hisia zangu kama hii toka dunia iumbwe.
Hii nayo n bonge la muvi ila hii kwa wanaopenda actions hawawez elewa
Hii movie ilinitoa chozi mkuu!
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app