BAHARI J
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 932
- 1,162
Habari Wana ndugu zangu
Matumian yangu ni wazima wa afya Tele na mna Endelea vema katika kusukuma gurudum la maisha hasa katika wakati huu wa Tanzania Mpya ya viwanda
Mimi nikija a ambae napenda Sana kusoma vitabu vya MadA mbali mbali hasa vitabu vya kimsukumo yaani
Motivation and inspiration books but Sijajua namna nzuri ya kuvipata hasa kutokana na ukwel kwamba kwa hard coppy ni gharama Sana but nahisi upo uweze kano wa kuwepo kwa softcopy
Kama mdau una jua namna yoyote ya kuweza kunisaidia kupata vitabu kwa Njia rahisi naomba Nisaidie Asante Sana