tuwe makini sana chochote tunachosema kwa wale wenye ndoa zao mungu amewabariki kuwa na watoto watoto wengine wanakuwa mambumbu shuleni kwa sababu ya matamshi yako mwenywe...akiwa mdogo mnnza kuwatamkia maneno ya ajabu...mjinga sana weewe...huna akili kabisa yale maneno yanumba na kweli wanakuja kuwa mbumbu baadae unaanza kupiga sala mungu mbadilishe noooo anza kubadilika wewe leo hii angalia je unachoongea kinajenga ama kubomoa..wapo wanandoa wiki mbili tu wanaanza kulalamika mmmhh kwa halii hii sijui kama tutafika baada ya miezi mitatu shuguli inaisha mnaanza kukimbizana na wazazi ooohhh vikao ,,,,wapi tuache kuruhusu mambo ambayo tunaweza kuyaepuka acha kuwasumbua wazazi wakati ushasema huna uhakika mtafika...sasa kinyume cha kufika si kutofika....wapo watu wengine wanaaribu makazini kwa sababua ya midomo yao....kwa ushauri tu tuwe makini...kinywa kinakupeleka kuzimu...mbingu inabaki hadithi...
REFUSE IDOS OF FAILURE
....................................
JARIBU KUPUNGUZA MAFAILI YA KUSHINDWA KIMAISHA KUPITIA MDOMO...ZAB 40:7
MSAMAHA NI KUSAHAU KITU...USIACHIE KUTOA MSAMHA TU LAZIMA USAHAHU...WAPOWENGINE WANASAMEHE NA KUMALIZIA SITOKUSAHAU...SAHAU NAMBA CHAFU ZA UOVU...WAPO WALIOKUWA NA MARAFIKI WENGI WA KIKE KABLA YA HARUSI..UKIOA UNATAKIWA USAHAU WANAWAKE ZAKO WA ZAMANI ,WANAUME ZENU WAZAMANI...SAHAU NA KUWAFUTA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU ZENU...ACHENI KUKAA NA IDOLS FILES...ZITAKUONDOA...MIMI NAKUMBUKA NILIPOOA NIKUWA NA FUTA HUKU NASEMA MUNGU NISAIDIE KAMA NINAVYOWAFUTA LEO NAWAO WANIFUTE KWENYE SIMU ZAO NA KUNISAHAU...KABISA...NYUMBA NYINGI ZINAARIBIWA NA NYUMBA NDOGO...
MWAZ 31:19 UNAFUTILIA MBALI
MWANZO 3:24... MAKERUBI WANAKULINDA NA DAMU YA YESU..
MWANZO 40:23 UNASABISHA KUSAHAU UNARTENGENEZA VIGEZO VYA KUWAFUTA KUANZIA KWENYE SALA,,MAKAZINI
2SAM 15:33
RUM 12:21 .
ISAM 4:9