Wale raia waliokuwa wakiandamana South Africa na kuvunja maduka na kupora kwa kisingizio cha Jacob Zuma kukamatwa unadhani ni kweli walimpenda au walitafuta sababu tu?Daah mkuu zile clip za raia kuikimbiza hiyo ndege, raia kudandia ndege na kuanguka nyingine hiyo picha apo bado unasema raia wanaikubali taleban??
Hata kama ni izo propaganda mkuu kuna mda kweli ukweli uongo hujitenga. Mamia ya raia wanahamia nchi jiran. Na hapo juzi walipoutwaa mji wa kabul walirusu raia wanaotaka kusepa wasepe kwa amani, sasa kama wanakubalika kweli watasaje raia wanaotaka kuondoka waondoke ilhali wanajua wanapendwa, hao wa kusepa watatoka wapi kwa serikali pendwa.??
Inawezekana ni woga wa raia wakikumbuka yaliyopita labda, ila saiz naona wavaa kobazi wamekuja na njia tofauti labda sioni zile amsha wala vurugu zaidi ya panic ya wananchi.
Hii ishu ni tofauti na ya south Africa kabisa mkuu. Wale walikua wanaleta fujo ndani ya ardhi yao lakiji hawa wanaikimbia ardhi yao. Na pia wale walikua wanavunja na kuiba mali lakini hawa hawavunji wala kuleta fujo wanasepa kimya kimya bila vurugu na hasara kwa nchi. Sijaona ufananisho huo umelenga nn zaidi mkuuWale raia waliokuwa wakiandamana South Africa na kuvunja maduka na kupora kwa kisingizio cha Jacob Zuma kukamatwa unadhani ni kweli walimpenda au walitafuta sababu tu?
Wanakimbili nchi za makafirii[emoji1]Wanawatukana na kuwaita makafiri halafu wanakimbilia kwao ..hili dini ni tatizo tupu.
Wako Uganda hapoWe chief acha dhihaka, unajua hao baada ya kuchukuliwa na hiyo ndege walipelekwa wapi? Kwa akili zako unahisi wamepelekwa Marekani sio? Walipekewa Qatar. Je Qatar ni Marekani?
Hawa ndio walikuwa ma snitch?Haya mambo yanashangaza sana.Hawa waafghanistan wanaenda wapi,kwani Taleban wanaua watu?Kwani kuna vita?
View attachment 1895221
Hahahahah wajuba wamejichenga zao kwa BiddenBek 3 kajipindua umekula mzigo adhabu viboko 100 tena inachapwa mbele na kurudishwa nyuma hiyo fimbo!!!hahaha ina maana ni viboko 200 inakuwa...hahaha jamaa anakuchapa fimbo kama mtu anavyokata majani na slesher
Yani hawa watu ni tatizo kabisa wanauoga Fulani wa kutokujiamini hivyo wanatafuta uruma wakishaipata basi wanatafuta kukubalika maana wanaona kama wanaonewa. Hii tabia ipo sana kwa watu wengi wa aisa huko hasa arabuni na afrika magharibi..na wengi ni hawa wenzetu upande wa piliWanakimbili nchi za makafirii[emoji1]
Halafu wakifika huko wanaanza kulazimisha taratibu zao kutawala wenyeji .
Huwa siwaelewi Sana Hawa watu wa upande wa kushoto.
Huwa wanafujo Sana .
Ni kweli wameletwa Uganda?? Ina maana hadi ndugu zao Qatar wamewakataa ..tena ni ndugu zao hasa katika imani..Wako Uganda hapo
Tena wamekuja Hadi UgandaWe chief acha dhihaka, unajua hao baada ya kuchukuliwa na hiyo ndege walipelekwa wapi? Kwa akili zako unahisi wamepelekwa Marekani sio? Walipekewa Qatar. Je Qatar ni Marekani?
Sasa mbona wamekimbia nchi Yao , Uganda wameshushwa 2000Siku moja kabla Taleban hawajautia mikononi mwao mji mkuu wa Afghanistan, Marekani walikuwa wameshasoma upepo wakatangaza watapeleka ndege kwaajili ya kuwabeba raia wao.
Sasa hao wanaosemwa ni raia wao ni pamoja na mamluki wake. Jiulize rais kibaraka alikimbilia wapi? Jibu ni kwamba walimtorosha pamoja na hao mamluki wengine maana wanajua kitu ambayo ingeendelea kwao... Walishuka nchi moja hapo Arabuni alafu wakapanga mikakati ya kuwagawanya wale wa muhimu wakaondoka nao huku wale hohehahe kama sisi ambao walipanda kwa bahati mbaya ndio anakuja kuwamwaga hapo jirani Uganda
Unaweza usielewe lakini fikiria kwanini wananchi walikuwa wanatoa saport kwa Taleban mpaka Biden akalalamika? Kiujumla Taleban wanakubalika na waafganistani kuliko iliyokuwa serikali feki iliyowekwa na Marekani
Hao ndio waliodandia kwa bahati mbayaSasa mbona wamekimbia nchi Yao , Uganda wameshushwa 2000
Breki ya kwanza ilikuwa ni Al Udeid military base.Wako Uganda hapo
Sio kama Qatar wamewakataa, pale Qatar Marekani ana Military base tu, hivyo aliwafikisha pale ndipo wakatafutiwa sehemu ya kupelekwa.Ni kweli wameletwa Uganda?? Ina maana hadi ndugu zao Qatar wamewakataa ..tena ni ndugu zao hasa katika imani..
Sasa wapo Uganda, na leo watakula matoke badala ya kalmat na ChapatiHaya mambo yanashangaza sana.Hawa waafghanistan wanaenda wapi,kwani Taleban wanaua watu?Kwani kuna vita?
View attachment 1895221
🤣🤣🤣Sasa wapo Uganda, na leo watakula matoke badala ya kalmat na Chapati
Oho ina maana wamekosa kabisa hifadhi kwa ndugu zao huko Saudia,Oman, Kazakhstan, hadi wake huku Africa? Lazima kuna kitu hapo hakija Kaa sawa.Sio kama Qatar wamewakataa, pale Qatar Marekani ana Military base tu, hivyo aliwafikisha pale ndipo wakatafutiwa sehemu ya kupelekwa.
Sasa hapo unataka kuweka maswala ya dini ndani ya katiba ya Tz wakati unafahamu kabisa Tz haina diniJe kunywa bia na kuvuta bangi kwa sheria za Tanzania hivi vitu viko sawa?
Hawaendi USA moja kwa mojaHapo huwezi kujua, Taliban inaweza kupenyeza wafuasi wao pia kuingia Marekani kwa njia hiyo. Sina uhakika sana lakini huwezi kuwaamini wote eti wanakimbia vita.
Na siyo kwamba wananchi wa Afghanistan wanaichukia Taliban, naamini wengi wanaichukia Marekani kuliko Taliban ila fursa ikijitokeza kama hivyo ambapo hakuna muda wa background check, mabaharia wanaitumia vizuri sana.
Sasa mzee mbona unafananisha vitu viwili tofauti, bc tuseme na wanajeshi wakienda vitani na kuua ni WaislamuHebu jistahi wewe! Unajua ni nani hadi sasa anaongoza kuua? Hitler alikuwa Muislam?
Wakitoka hapo waje Tz na boti la uvuvi hapo VictoriaSasa wapo Uganda, na leo watakula matoke badala ya kalmat na Chapati