Ingia Netflix isake series inaitwa vagabond utakuja kunishukuruNiliangalia mwaka 2017 ni nzuri ila nahisi wewe hujawai kuangalia series kali kama nakosea weka series zako mbili kali ili nijue wewe ni mkali kwenye hii sector ?
1.Prison BreakingNiliangalia mwaka 2017 ni nzuri ila nahisi wewe hujawai kuangalia series kali kama nakosea weka series zako mbili kali ili nijue wewe ni mkali kwenye hii sector ?
Banshee ahahahha hii series bn ilinifanya nikaambiwa "kijana mpole mtaratibu lkn kutwa kucha Yuko bize kuangalia X"1.Prison Breaking
2.Banshee
Blacklist inahusu niniBest season kwangu ni
Prison break
Blacklist
The last ship
squid game
Undercover kama hujawahi kucheki hizi season fuatiliau hautapoteza mda wako
Bado hujawai angalia series kali wewe bado sana1.Prison Breaking
2.Banshee
Hakuna kitu hapo isipokuwa squid game kwa sababu dunia ilikuwa inaenda kupoteza maudhui ya aina hii ya seasonIngia Netflix isake series inaitwa vagabond utakuja kunishukuru
Chuno_the slave hunter
Bichumno
Deep rooted tree
Great Queen sendiok
Hizi zote zimechezwa kizamani(kijijini) Ila zina Stori Kali na mkono sn
Jamaa aliyecheza hiyo tamthiliya ya innocent defendant karibia series zake zote ni kali,km za Ill Song Gook (jumong)
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Taja za kwakoBado hujawai angalia series kali wewe bado sana
Ndiyo maana ukasema Innocent dependent ni season nzuri sana kama upo tayari nikupe TOP FIVE BEST SEASON EVER