PostGE2025 Innocent Bashungwa, usipotubu utaijua nguvu ya karma hivi karibuni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
1,413
Reaction score
5,150
Wew si ndie ulikuwa waziri wa mambo ya ndani, uliekua na dhamana juu ya ulinzi wa wananchi na utendaji kazi wa vyombo vya usalama nchini??

Sasa najua unajua mengi kuliko MTanganyika yeyote yule juu ya yaliyotukia 29 October !!

Hivyo basi kujua kwako mengi kumekuweka katika hatari kubwa .Na kuondolewa kwako katika wizara uliyoiongoza kutekeleza unyama ule dhidi ya waTanganyika ni taa nyekundu..

Kumbuka anguko la muovu ni furaha kwa wanyonge pasipokujali kama Anguko lake limetekelezwa na waovu wenzake..!!
 
Rest In Paradise In Advance bro, Innocent Bashungwa.
 
Na siku chache kabla ya tarehe 29., aliagiza yeyote anayemiliki silaha ya moto kinyume na Sheria(illegal) akabidhi kwa mamlaka husika, walijua kila kitu
 
Alishiriki kikamilifu, na sasa wamemtoa kama mbuzi wa kafara
 
Wew si ndie ulikuwa waziri wa mambo ya ndani, uliekua na dhamana juu ya ulinzi wa wananchi na utendaji kazi wa vyombo vya usalama nchini??

Sasa najua unajua mengi kuliko MTanganyika yeyote yule juu ya yaliyotukia 29 October !!

Hivyo basi kujua kwako mengi kumekuweka katika hatari kubwa .Na kuondolewa kwako katika wizara uliyoiongoza kutekeleza unyama ule dhidi ya waTanganyika ni taa nyekundu..

Kumbuka anguko la muovu ni furaha kwa wanyonge pasipokujali kama Anguko lake limetekelezwa na waovu wenzake..!!
Huyu nyuumbu atembelewe na familia yake tena haraka
 
Back
Top Bottom