lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,939
- 517
yeah binafsi sidhani kama kuna nyingine yenye nguvu kama hayo madude, kuna yale yaliyokuwa na namba 88 halafu cjui ngapi ngapi huko zinaendelea, weeeeeeeh ni balaa
Muhimu kwenda shule, na ukasome masomo ya sayansi.kuna taarifa kuwa injini ya treni ndio yenye nguvu kuliko injini zote za vyombo vya moto kama magari,ndege,meli,boti. vifaru, je kuna ukweli wowote katika hili?
muhimu kwenda shule, na ukasome masomo ya sayansi.
Usisubiri porojo za kuambiwa!
yawezekana ikawa kweli maana utaona inavuta behewa kama 40 halafu lipo spidi sana
mkuu wewe unasemaje hapa
Mkuu huwezi kuifananisha na injini ya lowasa kwenye uchaguzi wa msimu huu,rowasa ana nguvu sana asee
yawezekana ikawa kweli maana utaona inavuta behewa kama 40 halafu lipo spidi sana
Muhimu kwenda shule, na ukasome masomo ya sayansi.
Usisubiri porojo za kuambiwa!
Sasa basi ujue kuna injini za vipepeo ni kiboko hata kuliko hilo treni lako.Shule ndio kama hivi,anauliza, anajibiwa-anapata knowledge!
Kusoma sio lazma uingie darasani mkuu....
mkuu wewe unasemaje hapa
Kontena 40 ni chache sana. Hiyo ni karibu 1/38 ya kontena zinazobebwa na meli moja.
Lakini ndege aina ya AIRBUS, ANTONOV NA BOEING 767 zinapopaa zinatumia nguvu ya tani 700, yaani ile power itumikayo kuilift ndege ni ya tani 700 sawa na karibu Semi trailer 25 kwa mpigo zenye tani 20(almost) kila moja.
mkuu wewe unasemaje hapa