Injili ya uamsho imeshaanza kuhubiriwa kutokea Tanzania kwenda Dunia nzima!

Injili ya uamsho imeshaanza kuhubiriwa kutokea Tanzania kwenda Dunia nzima!

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,938
Reaction score
41,098
Salaam, Shalom!

Kama ikivyotabiriwa tangu msimu mpya ulivyoanza 2021-2030, kwamba injili ya ufalme itahubiriwa duniani kote.

Mwanzo injili hii ilihubiriwa tokea Israel kwenda ulaya, ikasambaa Dunia nzima,

Sasa wakati wa mwisho umewadia, na kabla ya unyakuo, ni lazima kanisa la Mungu likisanywe,

Na kanisa la Mungu linakusanywa Katika mazingira magumu mno, Hali mbaya ya kiuchumi, majengo ya kanisa yakizuiwa kutumika kwa ibada, watakatifu wakiuwawa, uchumi ngummu nk nk.

Na injili hii SI injili Ile ya kuhubiri material things kwamba njoo utajirike hapana,

Injili hii ni ya kuwaita watu waache DHAMBI, waambie DHAMBI ni Nini, waziache nna kuzitumua, wanaambiwa kuzifua nguo zao Katika damu ya Mwanakondoo Yesu Kristo.

Injili hiii inahubiriwa kuliandaa kanisa kwa ajili ya unyakuo ambao umewadia.

Ukipuuza injili hii, na ikatokea unyakuo imetokea na wewe hukunyakuliwa inakuja dhiki kuu mno ambayo hutaweza istahimili.

Ikiwa ungependa kuzifua nguo zako Katika damu ya Mwanakondoo Yesu Kristo fuatisha sala hii,

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, UZINZI USINISHINDE, UCHAWI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMIN
 
Mlango wa dhiki iliyoandikwa Mathayo 24

Unaendelea kuwachinnja watu Gaza, Israel na Irani Ili wachgue upande.
 
Tunaandaliwa Tanzania 🇹🇿 tuiendee dunia kuhubiri injili ya ufalme,

Injili ya siku za mwisho,

Injili itahubiriwa Katika mazingira magumu,

Mashetani Katika form ya wanadamu walioshika nyanja mbalimbali nyeti,

Yanakwenda kufungulia waovu, magaidi kuja kuua wakristo kwa chuki za kupandikiza,

Lakini Mungu ni mwema,

Tanzania itaangaza Tena kwa Nuru kuu.

Aamin
 
Back
Top Bottom