Injili ya Barinaba chapter 39 Aya ya 2

Injili ya Barinaba chapter 39 Aya ya 2

Hapo hakuna Injili hata Moja iliyoandikwa na mwanafunzi wa Yesu mme wekewa hayo majina Matayo, Yohana sijui Luka Ili kukuzugeni tu na kweli mmeingia

Mbona historia za hivyo vitabu na walioandika zipo


I have pointed out that Matthew does not seem to have gotten those sayings from Luke or Luke from Matthew, and so they both most have gotten them from some other one-time-existing source. That is what we call Q (for the German word Quelle: Source). But some readers have asked WHY it is unlikely that Matthew got these sayings from Luke or Luke from Matthew. It’s a bit tricky, and I need to simplify a bit. But I’ll try to explain as follows.

This is partly drawn from my discussion in my textbook on the New Testament. The argument that follows is actually used (in the book) to establish Markan Priority – that is, the view that Mark was prior to the other two Synoptics and was used by them as a source. But as I’ll explain, the same argument is often appealed to as evidence that neither Matthew nor Luke got its sayings material from the other. It has to do with the sequence in which this sayings material appears in both Gospels.

BIshana na hao maprophesa wa Cambridge University waliofanya research Sasa kama nyinyi mnadanganyana huko makanisani kuwa vimeandikwa na wanafunzi wa Yesu endeleeni kudanganyana

😂😂😂😂😂😂

Ww Level zako za kujibizana kwa hoja ni watoto wadogo.
Hoja zako unatengeneza kwa mawazo finyu sana.

Nakupuuza.
 
😂😂😂😂😂😂

Ww Level zako za kujibizana kwa hoja ni watoto wadogo.
Hoja zako unatengeneza kwa mawazo finyu sana.

Nakupuuza.


Sasa kama unabishana Hadi na maprophesa wa Cambridge University Mimi nakusaidiaje?

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however, does not include the same incidents or chronology found in the other three Gospels, and the fact that it is so different has spurred a debate over whether John’s Gospel is historical or not, something that has been noted in Gospel of John commentary for hundreds—even thousands—of years.

Several hypotheses have attempted to explain why so much of Jesus’ life not portrayed in the Synoptics is present in John and vice versa. One hypothesis claims that John recorded many of the events that occur

Aliyeandika kitabu Cha Yohana hajulikani

Aliyeandika kitabu Cha Luka ni mganga wa kienyeji

Aliyeandika kitabu Cha Mathayo ni Paulo

Aliyeandika kitabu Cha Matendo ni Paulo

Kama haya wewe ndio unayajua Leo basi wewe nikilaza na ndio maana umepotea

Haya sio yangu nimekopi na kupest kutoka website ya Cambridge University
 
Kwa Sasa injili pekee iliyopo hapa duniani ambayo imeandikwa Kwa mkono wa mwanafunzi wa Yesu ni Injili ya Barinaba

Na injili ya Barinaba na ukristo ni kama bange na polisi na ndio maana ilifichwa Ili nyinyi misukule ya kikiristo musiisome na mpaka Leo hairuhusiwi kusomwa kanisani

Mnasoma hizo Injili zilizoandikwa na watu Kwa lengo la kuanzisha dini ya ukristo

Kitabu Cha mathayo , Mariko na Matendo vimeandikwa na Paulo mtu ambaye sio mwanafunzi wa Yesu Wala hajawahi kuonana na Yesu

Injili ya Luka imeandikwa na mganga wa kienyeji tena alikuwa mpagani na hajawahi kuonana na Yesu

Injili ya Yohana aliyeiandika Hadi Leo hii hajulikani ni nani hicho kitabu kiliokotwa Egypt miaka 30 Baada ya Yesu kupaa

Wewe mgalatia ndio unatakiwa uwaze nje ya box sio Muislam
Ndivyo umedanganywa hivyo msikitini!
Si mnasema injili ya Issa imeshuwa mbona Tena Leo tunaambiwa ya Barnaba?
Tuamini injili ya Isa iliyoshushwa au ya Barnaba muislamu wa Madina?
 
Ndiyo — Injili ya Barnaba inamtaja Muhammad kwa jina, lakini hapa kuna muktadha muhimu sana 👇
Injili ya Barnaba ni nini?
Ni maandishi yasiyo katika Biblia ya Kikristo (apokrifa).
Haikubaliki na makanisa ya Kikristo (Katoliki, Kiorthodoksi, wala Kiprotestanti).
Inamtaja vipi Muhammad?
Ndani ya Injili ya Barnaba, Yesu anatajwa akitabiri kuja kwa Muhammad, na Muhammad anatambulishwa kama Mtume wa mwisho.
Hii ndiyo sababu maandishi haya yanapendwa kurejelewa katika mijadala ya Kiislamu.
Kwa nini inapingwa?
Wanahistoria wengi wanasema:
Iliandikwa karne ya 14–16, muda mrefu baada ya Yesu na baada ya Uislamu kuenea.
Lugha na maudhui yake yanaonyesha athari ya Kiislamu, si ya karne ya kwanza.
Haipo katika maandiko ya awali ya Kikristo wala nukuu za Mababa wa Kanisa.
Hitimisho fupi
✔️ Ndiyo, Injili ya Barnaba inamtaja Muhammad.
❌ Lakini kihistoria na kiteolojia, haichukuliwi kuwa Injili ya kweli ya wakati wa Yesu na Wakristo.
Kama ungependa, naweza:
Kukulinganisha Injili ya Barnaba na Injili 4 za Biblia
Au kukuonyesha aya mahsusi zinazomtaja Muhammad
Au kueleza mtazamo wa Kiislamu vs Kikristo kwa undani zaidi
Niambie tu 😊
 
Injiri ya Barnaba ninayo hapa Home na baadhi ya makosa machache ni kama haya hapa na nilishawahi kuyaandika hapo awali:

Niliandika hivi

Injiri ya Barnaba Sio Injiri ya Kristo na haiendani na Theolojia ya Kristo hivyo haina mashiko kwa Wakristo.

Machache kati ya hayo ni kwamba.

1.Mwandishi wake alikuwa na uelewa mdogo sana kuhusu jiografia ya Upalestina.

2.Katika sura ya 99:21 mwandishi anaeleza alipanda kwa miguu kuelekea kijiji cha Kapernaumu, wakati kijiji hicho kipo zaidi ya mita 200 chini ya usawa wa bahari.

3.Katika sura ya 100 mwandishi anaeleza kuwa Yesu Kristo alienda Nazareti kwa mashua wakati kijiji hicho kipo mita 500 juu ya usawa wa bahari,

4.Katika sura ya 151 anasema pia kuwa Yesu alienda Yerusalemu kwa mashua ukiangalia ramani inapingana na huo usemi.

4.Barnaba ndiye pekee aliyeandika kuwa Mamajusi waliompelekea zawadi mtoto Yesu, walikuwa watu watatu tu, tofauti na Injiri ya Yesu ambayo haijataja idadi ya Mamajusi bali imetaja idadi ya zawadi tatu walizopeleka (uvumba, manemane na dhahabu)

5.Katika sura 40:41 Barnaba analitaja jina la tunda la mti wa mema na mabaya kuwa ni tunda la Tofaa, lile alilokula Hawa ktk bustani ya Edeni, wakati kitabu cha mwanzo na Biblia kwa ujumla ambayo ndiyo chanzo pekee cha habari hii, haijataja popote jina la tunda la Tufaa ktk maelezo yake.

6.Katika sura ya 54 Barnaba ameitaja Dinari kuwa ina Minuti 60, bila kujua kuwa Minuti ilikuwa fedha ya Uhispania iliyoanza kutumika mwaka 685 baada ya Kristo wakati wa utawala wa Khalifa Abdul Malaki. Enzi za Yesu hiyo fedha haikuwepo.

7.Katika sura ya 150 Barnaba anaeleza kuwa Yesu Kristo alizaliwa wakati wa utawala wa Pontio Pilato akiwa kiongozi, wakati ukweli ni kwamba utawala wa Pilato ulianza mwaka 26 na 27 baada ya Kristo kuzaliwa.

8.Katika sura ya 97 Barnaba anamtaja Mtume Muhammad kuwa ni Masihi na Yesu anamwita Kristo bila kujua kuwa neno Kristo ni kwa Kigiriki na Masihi ni kwa Kiebrania yakiwa na maana moja.

9.Katika sura ya 222 Barnaba anaeleza kuwa Yesu Kristo hakusulubiwa, aliondolewa na Malaika, kisha Yuda alisulubiwa badala yake.

10.Katika sura ya 44 Barnaba anaeleza kuwa Ibrahimu alimtoa Ishmaeli awe sadaka katika madhabahu, na anamwita Mungu wa Ibrahimu, Ishmaeli na Yakobo, tofauti kabisa na Mwanzo 22.

11.Katika sura ya 192 Barnaba anasema Mwishmaeli ndiye aliyeiandika Torati.

12.Barnaba anamweka mtume Muhammadi kama mbadala wa Yesu kristo, angalia sura ya 44, 45, 9, 112, 39 na nyinginezo ktk kitabu hicho.

Hii ndiyo injili mnayoipigania iwekwe kwenye Biblia

Katika ukweli huu mchache nadhani wasomaji mmeelewa mlengo wa Injiri ya Barnaba wala sina haja ya kuwaambia.

Injiri ziliandikwa katika biblia zinaeleza wazo moja (maudhui yanafanana) ingawa inatofautiana maneno kutokana na mazingira ya kila mwandishi alivyofunuliwa na Yesu mwenyewe, tofauti na Injiri ya Barnaba.

Injiri ya Barnaba, inapatikana madukani, yeyote akainunue na kuitumia:
Haijapigwa marufuku na kuzuiwa kuisoma:

Karne hii hamna pa kutokea
Janja yenyu ibakie humo humo Madrasut
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom