Injili ya Barinaba chapter 39 Aya ya 2

Injili ya Barinaba chapter 39 Aya ya 2

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
3,924
Reaction score
4,521
Yesu akajibu: "Ni kwamba mtu ambaye hataiamini kweli kwa wokovu wake anapaswa kuamini uwongo kwa laana yake. Kwa hiyo nawaambia, kwamba ulimwengu umewahi kuwadharau manabii wa kweli na kuwapenda waongo, kama inavyoonekana katika siku za Mikaya na Yeremiakwa maana kila mtu kama wake hupenda mfano wake."

Kisha kuhani akasema: "Masiya ataitwaje, na ni ishara gani itaonyesha kuja kwake?" Yesu alijibu hivi: “Jina la Masihi ni la kustaajabisha, kwa maana Mungu mwenyewe alimpa jina hilo alipoiumba nafsi yake, na kuiweka katika fahari ya kimbinguMwenyezi Mungu akasema:

"Ngoja Muhammad; kwa ajili yako nitaumba pepo, dunia, na viumbe vingi vingi, ambavyo katika hivyo nakufanya kuwa ni zawadi, ili kwamba yeyote atakayekubariki atabarikiwa, na yeyote anayekulaani amelaaniwa.nitakapokutuma ulimwenguni nitakutuma kama Mtume wangu wa wokovu, na neno lako litakuwa kweli, hata mbingu na ardhi zitashindwa, lakini imani yako haitashindwa kamwe." Muhammad ni jina lake lililobarikiwa." basi umati ukanyanyua sauti zao, ukisema: “Ewe Mola tutume Mtume wako: Ewe Muhammad, njoo upesi uokoe ulimwengu!”
 
Yesu akajibu: "Ni kwamba mtu ambaye hataiamini kweli kwa wokovu wake anapaswa kuamini uwongo kwa laana yake. Kwa hiyo nawaambia, kwamba ulimwengu umewahi kuwadharau manabii wa kweli na kuwapenda waongo, kama inavyoonekana katika siku za Mikaya na Yeremiakwa maana kila mtu kama wake hupenda mfano wake."

Kisha kuhani akasema: "Masiya ataitwaje, na ni ishara gani itaonyesha kuja kwake?" Yesu alijibu hivi: “Jina la Masihi ni la kustaajabisha, kwa maana Mungu mwenyewe alimpa jina hilo alipoiumba nafsi yake, na kuiweka katika fahari ya kimbinguMwenyezi Mungu akasema: "Ngoja Muhammad; kwa ajili yako nitaumba pepo, dunia, na viumbe vingi vingi, ambavyo katika hivyo nakufanya kuwa ni zawadi, ili kwamba yeyote atakayekubariki atabarikiwa, na yeyote anayekulaani amelaaniwa.nitakapokutuma ulimwenguni nitakutuma kama Mtume wangu wa wokovu, na neno lako litakuwa kweli, hata mbingu na ardhi zitashindwa, lakini imani yako haitashindwa kamwe." Muhammad ni jina lake lililobarikiwa." basi umati ukanyanyua sauti zao, ukisema: “Ewe Mola tutume Mtume wako: Ewe Muhammad, njoo upesi uokoe ulimwengu!”
Barnaba muislamu! Injili hii haijatiwa mikono kama zingine?
 
Kama jina la yule muhuni mtukufu wa daraja lipo ndani ya hiyo injili likimtaja kuwa ni mtume wa kweli basi hiyo injili ni feki au imechakachuliwa 😁😁😁😁
 
Barnaba muislamu! Injili hii haijatiwa mikono kama zingine?
Kwa Sasa hapa Duniani ni Muislam pekee akisoma Taurati, Zaburi na Injili ndio mwenye uwezo wa kujua hili andiko lipo sawa au limechakachuliwa Kwa sababu tunaya Quran

Hilo andiko hapo halijachakachuliwa lipo sawa labda ulichakachue wewe

Quran 61:6
- Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!
 
Hawa watoto wa kambo wsnsjitafutia uhalali wa uongo baada ya jamaa aliyeoa kitoto Cha miaka 6 kuto kutajwa katika kitabu chochote zaidi ya alichokiandika yeye mwenyewe kwa msaada wa mkuu wa majini
 
Hiyo injili inapingana na Quran

Qur'an inamtaja masihi wa MUNGU kuwa ni YESU KRISTO lakin hiyo injili yako inamtaja Muhammad
 
Kwa Sasa hapa Duniani ni Muislam pekee akisoma Taurati, Zaburi na Injili ndio mwenye uwezo wa kujua hili andiko lipo sawa au limechakachuliwa Kwa sababu tunaya Quran

Hilo andiko hapo halijachakachuliwa lipo sawa labda ulichakachue wewe

Quran 61:6
- Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!

Kwanini Muarabu huyu amejinasaba sana na Wayahudi kwenywe kutunga dini yake?.

Akajinasaba kuanzia kwa Ishmael.

Hujawah jiuliza?.
Siku ukijiuliza kwa Logic tu ndogo nje ya dini. Ndio siku utajua ukweli kuwa Uislam ni janja janja.
 
Kwa Sasa injili pekee iliyopo hapa duniani ambayo imeandikwa Kwa mkono wa mwanafunzi wa Yesu ni Injili ya Barinaba

Na injili ya Barinaba na ukristo ni kama bange na polisi na ndio maana ilifichwa Ili nyinyi misukule ya kikiristo musiisome na mpaka Leo hairuhusiwi kusomwa kanisani

Mnasoma hizo Injili zilizoandikwa na watu Kwa lengo la kuanzisha dini ya ukristo

Kitabu Cha mathayo , Mariko na Matendo vimeandikwa na Paulo mtu ambaye sio mwanafunzi wa Yesu Wala hajawahi kuonana na Yesu

Injili ya Luka imeandikwa na mganga wa kienyeji tena alikuwa mpagani na hajawahi kuonana na Yesu

Injili ya Yohana aliyeiandika Hadi Leo hii hajulikani ni nani hicho kitabu kiliokotwa Egypt miaka 30 Baada ya Yesu kupaa

Wewe mgalatia ndio unatakiwa uwaze nje ya box sio Muislam
 
Tulia nikueleweshe ww kafiri Kobaz.

1. Mathayo . Yohana mwana wa zebedayo na Petro walikuwa ni kat ya wale wanafunz 12 na waliandika vitabu.

Vitabu vingne vikiandikwa na mashuhuda waliokuwa kipind cha Yesu na wale waliokuwa karibu na wanafunz wa Yesu.

Hakuna kitabu cha agano jipya kilicho nje ya hapo.

2. Barnaba ni mshirika wa Paulo na hakuwa mwanafunz wa Yesu.
Wanafunz wa Yesu najua huwajui.

Ila UMEPOTOSHA na watu WAPUUZE hayo uliyoandika kwasababu umemvalisha mtu uhusika ambao hana.

3. Allah alisema atalinda vitabu vyake. Ameshindwa kulinda Injili ya barnaba?

4. Haya uliyoandika yote umekosea.👇👇👇👇
Bora mwenzako Jagina huwa ana chat gpt.
Kafiri Kobaz Ww uko shallow sana.
Katika Kobaz wote niliowah kujadiliana nao. Ww ndio Kobaz mwenye Akili ndogo so far.

Kitabu Cha mathayo , Mariko na Matendo vimeandikwa na Paulo mtu ambaye sio mwanafunzi wa Yesu Wala hajawahi kuonana na Yesu

Injili ya Luka imeandikwa na mganga wa kienyeji tena alikuwa mpagani na hajawahi kuonana na Yesu
 
Kwa Sasa hapa Duniani ni Muislam pekee akisoma Taurati, Zaburi na Injili ndio mwenye uwezo wa kujua hili andiko lipo sawa au limechakachuliwa Kwa sababu tunaya Quran

Hilo andiko hapo halijachakachuliwa lipo sawa labda ulichakachue wewe

Quran 61:6
- Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!

Tena usithubutu kumfananisha Allah na Mungu eala Usa na Yesu. Hao ni tofauti kabisa, na sifa zao , wale wa kwente Quran wana sifa tofauti kabisa na wale waliopo kwente Biblia. Sifa za Allah wa kwenye Quran, kwenye Biblia ni sifa za shetani. Na mohamed mwenyewe mara ya kwanza kabisa alimwambia mke wake kuwa alitokewa na shetani.

Hakuna kitabu kilichojaa uwonga kama Quran. Wapo waongo mpaka wanathubutu kutamka eti Quran ileteremshwa, iliteremshwa kutoka wapi? Simulizi za Mohamed alipotokewa na shetani, anasema aliambiwa aandike, na yeye akasema hajua kuandika. Mpaka Mohamed anakufa, hakukuwa na Quran. Baada ya miaka kupita toka kifo cha Mohamed, ndipo walitokea watu wawili ambao ndio wanatajwa kuiandika Quran. Na wala hawakuthubutu hata kuweka majina yao ili watu wajue ni nani aliendika Quran!

Who wrote the Quran?
  • After Mohammad Death: The first Caliph, Abu Bakr, ordered the collection of scattered writings and memorized verses into a single volume.
  • Standardization: Later, Caliph Uthman oversaw the creation of standardized copies to ensure textual uniformity.
  • In Sunni tradition, it is believed that the first caliph Abu Bakr ordered Zayd ibn Thabit to compile the written Quran, relying upon both textual fragments and the memories of those who had memorized it during Muhammad's lifetime, with the rasm (undotted Arabic text) being officially canonized under the third caliph.
Halafu kuna wajinga wanadanganywa kuwa eti Quran iliteremshwa, na wenyewe wanaamini!
 
Kwa Sasa injili pekee iliyopo hapa duniani ambayo imeandikwa Kwa mkono wa mwanafunzi wa Yesu ni Injili ya Barinaba

Na injili ya Barinaba na ukristo ni kama bange na polisi na ndio maana ilifichwa Ili nyinyi misukule ya kikiristo musiisome na mpaka Leo hairuhusiwi kusomwa kanisani

Mnasoma hizo Injili zilizoandikwa na watu Kwa lengo la kuanzisha dini ya ukristo

Kitabu Cha mathayo , Mariko na Matendo vimeandikwa na Paulo mtu ambaye sio mwanafunzi wa Yesu Wala hajawahi kuonana na Yesu

Injili ya Luka imeandikwa na mganga wa kienyeji tena alikuwa mpagani na hajawahi kuonana na Yesu

Injili ya Yohana aliyeiandika Hadi Leo hii hajulikani ni nani hicho kitabu kiliokotwa Egypt miaka 30 Baada ya Yesu kupaa

Wewe mgalatia ndio unatakiwa uwaze nje ya box sio Muislam

Wewe siyo tu agent wa shetani, bali mwendawazimu pia. Hakuna anachojua, unapiga kelele tu! Aheto Covax huwa anajitahidi kusoma kwanza kabla hayafikia kwente dhamira yake ya upotoshaji!

Lakini wewe ni mendawazimu ambaye ulipotelewa akili na reasoning tangu ulipojifungamanisha na shetani:
1. Hakukuwa na mtume aliyeitwa Barnaba katika wale 12.

12. Mathayo na Yohana ni mitume wa Yesu walioishi na Yesu, waliandika Injili kwa yale waliyoyashuhudia.

3. Marko, msaidizi wa karibu wa Mtume Petro, alikuwa kalamu ya maelezo ya Mtume Petro.

4. Msomi Daktari wa binadaku Luka, alikuwa miongoni mwa wafuasi wa mwanzo wa Yesu Kristo, anasema wazi kuwa amaelezo yake yote ni yale ya wale walioishi na Kufundishwa na Kristo.

5. Paulo mtume wa Kristo kwa kutokewa na Kristo, na kwa kujazwa Roho wa Mungu, alitenda ishara nyingi za kuthibitisha Roho wa Mungu aliyekuwemo ndani yake. Fuatilia Mohamed wako kama aliwahi kufufua hata chura. Paulo aliponya watu, aliwafufua waliokufa, hata alipofungiwa gerezani milango iligunguka yenyewe, na kwa ishara walizoziona, hata askari waliopewa jukumu la kumlinda, walibadilika na kuomba wabatizwe ili wamtumikie Mungu wa kweli.

Mungu wa huruma akuangaze akugeuze moyo wako ili umjue Mungu wake, uachane na shetani na majini ambao wapo kwaajili ya kukuangamiza kiroho. Angalieni wenzenu, waliowahi kuwa kama ninyi, waabudu shetani, walivyobafilika, na sasa wanamtukuza Mungu wa kweli:

Conversion to christianity rates are highest in Asia (especially China, Indonesia, South Korea) and Africa (particularly Sub-Saharan Africa), with significant growth in places like Iran, driven by urban, educated, and upwardly mobile populations converting from other faiths like Islam or Hinduism, though persecution often accompanies this rise.
 
Tulia nikueleweshe ww kafiri Kobaz.

1. Mathayo . Yohana mwana wa zebedayo na Petro walikuwa ni kat ya wale wanafunz 12 na waliandika vitabu.

Vitabu vingne vikiandikwa na mashuhuda waliokuwa kipind cha Yesu na wale waliokuwa karibu na wanafunz wa Yesu.

Hakuna kitabu cha agano jipya kilicho nje ya hapo.

2. Barnaba ni mshirika wa Paulo na hakuwa mwanafunz wa Yesu.
Wanafunz wa Yesu najua huwajui.

Ila UMEPOTOSHA na watu WAPUUZE hayo uliyoandika kwasababu umemvalisha mtu uhusika ambao hana.

3. Allah alisema atalinda vitabu vyake. Ameshindwa kulinda Injili ya barnaba?

4. Haya uliyoandika yote umekosea.👇👇👇👇
Bora mwenzako Jagina huwa ana chat gpt.
Kafiri Kobaz Ww uko shallow sana.
Katika Kobaz wote niliowah kujadiliana nao. Ww ndio Kobaz mwenye Akili ndogo so far.
Hizo Injili ulizotaja hakuna hata Moja iliyoandikwa na mwanafunzi wa Yesu

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however,

Source website of Cambridge University

Aliyeandika kitabu Cha Yohana Hadi Leo hajulikani kama unamjua mtaje Ili Dunia ikupe zawadi
Maprophesa wa Cambridge University hawakufanikiwa kumjua
 
Waislam wanahangaika kweli kutengeneza habari za uwongo dhidi ya ukristo, wakiamini kuna wajinga watakaowaamini!

Msiojua, mfahamu kuwa hakuna kitu kinaitwa Injili ya Barnaba. Haikuwahi kuwepo, na wala haipo. Kinachoitwa maandiko ya Barnabas, ni maandishi yaliyobuniwa na makundi ya waislam kati ya mwaka 1,400 na 1,600 baada ya kuona uwongo juu ya Quran, na hadithi kuhusu Mohamed kuwa ni nabii, zinapata uzuizi wa kupokelewa. Lakini kwa sababu watengeneza hilo deal walikosa akili kuwa, waliandika wakiacha makosa mengi yaliyothibitisha kuwa ni maandiko fake.
Kwanza injili zote ziliandikwa zikitumia lugha 2 tu, Kiebrania na Kigiriki, hayo maandiko ta mchongo waliyoandika matapeli wa kiislam wakiyapa jina kuwa ni mafundisho ya Barnabas, walitumia lugha ya Kihispani na

The biblical Barnabas, mpanion of Paul) did not write the Gospel of Barnabas; it's a medieval text from around the 14th-16th centuries, written by moslems, full of anachronisms and Islamic theology, claiming a 1st-century origin but a forgery by scholars, as it contradicts the canonical Gospels and Christian history.
Key Points about the Gospel of Barnabas:
  • Pseudepigraphical: It falsely claims to be written by Barnabas, an apostle of Jesus.
  • Dating: The earliest known manuscripts are from the late 16th century, written in Italian and Spanish, languages not used in 1st-century Palestine.
  • Content: It harmonizes canonical Gospel stories with Islamic beliefs, denying Jesus's crucifixion and presenting a version of Jesus that aligns with the Quran.
  • Anachronisms: It contains historical errors, like wine stored in barrels (not common then) or describing cities in impossible locations, proving it wasn't written by a contemporary.
  • Scholarly Consensus: Scholars agree it's a medieval fabrication, not an authentic early Christian text.
Why it's Different from Canonical Gospels:
  • The Bible's canonical Gospels (Matthew, Mark, Luke, John) were written by apostles or close associates and accepted by early Christians.
  • The Gospel of Barnabas emerged much later and was rejected from the biblical canon for its inconsistencies and later origins.
 
1. Kwanza Hujui kingereza.
Soma tena vizur. Wamekiri kujua walioandika vitabu vyote ila cha John ndio hawajui.

Kwahiyo hoja yao iko kwenye John na sio vitabu vingne.

Nimekuambia nenda chat gpt kama mwenzako uone utopolo ulioandika pale mwanzo kuhsu injil ya barnaba na kusema eti hakuna mwanafunz wa Yesu aliyeandika kitabu .
Na barnaba alikuwa mwanafunz wa Yesu.

(Kama haujaenda kuhakikisha bas ukubali tu kuwa ww uko shallow kuliko makafiri kobaz wengne wanaoletaga hoja hapa jf)

2. Sasa nikujibu hoja yako.
Kwasababu haujaenda shule (kama ukiwa umeenda bas umeishia la nne).
John kwa Kishwahili ni Yohana.
Nakuwekea wanafunz wa Yesu.

Tafuta jina Yohana. Na kama umeliona bas huyo ndio aliandika kitabu cha Yohana.

Hawa hapa 👇👇
1. Simoni (Petro)
2. Andrio (Andrew)
3. Yakobo (mwana wa Zebedayo)
4. Yohana (mwana wa Zebedayo)
5. Felipe
6. Bartolomeo
7. Tomasi
8. Mateo (mwandishi wa ushuru)
9. Yakobo (mwana wa Alfeo)
10. Thaddaeo (pia anaitwa Yuda, mwana wa Yakobo)
11. Simoni Mkaniki
12. Yuda Iskariote

Nimeweka kwa Kiswahili. Kiingereza ningekuchanganya sana ww Kobaz.
 
Hana Elimu. Hawez elewa Kingereza.
 
Hapo hakuna Injili hata Moja iliyoandikwa na mwanafunzi wa Yesu mme wekewa hayo majina Matayo, Yohana sijui Luka Ili kukuzugeni tu na kweli mmeingia

Mbona historia za hivyo vitabu na walioandika zipo

I have pointed out that Matthew does not seem to have gotten those sayings from Luke or Luke from Matthew, and so they both most have gotten them from some other one-time-existing source. That is what we call Q (for the German word Quelle: Source). But some readers have asked WHY it is unlikely that Matthew got these sayings from Luke or Luke from Matthew. It’s a bit tricky, and I need to simplify a bit. But I’ll try to explain as follows.

This is partly drawn from my discussion in my textbook on the New Testament. The argument that follows is actually used (in the book) to establish Markan Priority – that is, the view that Mark was prior to the other two Synoptics and was used by them as a source. But as I’ll explain, the same argument is often appealed to as evidence that neither Matthew nor Luke got its sayings material from the other. It has to do with the sequence in which this sayings material appears in both Gospels.

BIshana na hao maprophesa wa Cambridge University waliofanya research Sasa kama nyinyi mnadanganyana huko makanisani kuwa vimeandikwa na wanafunzi wa Yesu endeleeni kudanganyana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom