Inholland university amsterdam ni chuo fake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inholland university amsterdam ni chuo fake.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Misinzo, Feb 2, 2012.

 1. M

  Misinzo New Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale siku za mbeleni watataka kuja kusoma in the Netherlands wawe makini na hichi chuo cha Inholland hoogschool diemen ni chuo fake,kimekuwa kikitoa vyeti kwa urahisi kwa ajili ya kupata subsidy kutoka serikalini,imewachanganya wanafunzi wengi waliomaliza hapo katika kutafuta market ya kazi ni Kama vyeti havina thamani,hata mwaka mpya wa shule kimepata wanafunzi wachache waliojiunga kutokana na scandal hii.
   
Loading...