Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,755
- 102,568
Niache iliyobaki nje?Nikiumwa na mbu?Kazi-kazi tu!Naam si vyema kuingiza yooote kama vile zuzu/fala.
Ili ufanikiwe unatakiwa kuingiza kidogo halafu unasikilizia,, tartiibu utaona jinsi inavyochanganya ndio unaongeza tena kidogo halafu unatoa.
Hii mbinu inatumika hata kwenye masoko ya dhahabu duniani ndio maana utaona bei mara imepanda au hata dola halafu baadae tena inashuka,
Kwa hiyo na wewe mtaji wako kwenye biashara weka kidogo halafu sikilizia,
hahahaha watu mnapenda michomoko, ukute hapo na masikio yalikua yamesimama kufuatilia uzi kwa umakinNimeudhika sana mwishoni!
Na vinyweleo, acha kabisa!hahahaha watu mnapenda michomoko, ukute hapo na masikio yalikua yamesimama kufuatilia uzi kwa umakin
Boss, mada inaongelea kuhusu kuingiza mtaji "kidogo kidogo" kwenye biashara. Watu wanashauriwa wasiingize "mtaji" wote! Badala yake wanatakiwa "kuingiza" kidogo, halafu wanasikilizia kwanza matokeo.Nimeudhika sana mwishoni!
Dahh sawa mkuu ila sikutegemea kabisa!Boss, mada inaongelea kuhusu kuingiza mtaji "kidogo kidogo" kwenye biashara. Watu wanashauriwa wasiingize "mtaji" wote! Badala yake wanatakiwa "kuingiza" kidogo, halafu wanasikilizia kwanza matokeo.
Pole sana mweshimiwa mjumbe..Kunahuyu kaja geto lenyewe moja anaanza kuleta michezo ya kutupiana mito.... ona sasa kamwaga mboga, sijui tutakula nini...[emoji19]
Wajomba wanawaza migegedo tuBoss, mada inaongelea kuhusu kuingiza mtaji "kidogo kidogo" kwenye biashara. Watu wanashauriwa wasiingize "mtaji" wote! Badala yake wanatakiwa "kuingiza" kidogo, halafu wanasikilizia kwanza matokeo.
Akili za mbayu wayu.........Duh mi nikajua mambo yetu yalee
hahahaha haya bhana sina usemi kweny hyo sektaNa vinyweleo, acha kabisa!
ππNasikia kuna style mpya inaitwa Tume ya Chande, ipoje?
LumbesaπWajomba wanawaza migegedo tuView attachment 3582124
Kama kuna picha ya hiyo style ya Tume ya Chande, iwekeniππ
Nikiiweka nitapigwa life ban πKama kuna picha ya hiyo style ya Tume ya Chande, iwekeni
PM yangu ipo waziNikiiweka nitapigwa life ban π
Huko PM hakuna Ban π€£PM yangu ipo wazi