thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,827
- 4,757
Nina uhakika wengi mnatumbu kuwa ifikapo mwezi 6 simu zote ambazo si original hazitaweza kufanya kazi. hizi ni website ya tcra ambayo inahakiki kama simu yako ni feki ama la.
hatua
Bonyeza namba *#06#. halafu kopi imei namba halafu ingiza sehemu ya kuverify na uclick "verify my device". ikiwa imei yako itaonyesha model tofauti na mtengeneza wa device basi hiyo simu ni feki kwa hiyo nunua nyingine.
TCRA
IMEI Code Verification
web nyingine ni hii chini
Check IMEI and Analytics - IMEI Database Lookup
kwa watumiaji wa simu unaweza tuma meseji kwenda namba 15090
mods mnaweza fanya hii thread kuwa sticky ili watu wengi waweze tambua simu zao