Ingekuwaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ingekuwaje

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by shegaboy, Jul 20, 2012.

 1. shegaboy

  shegaboy JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna dada mmoja alikuwa anapenda sana wanaume siku moja kakutana na jamaa mmoja akasema anataka kumuoa. ila jamaa anajua nyendo zote za yule demu alikuwa anamtega tu. yuledada akakubali wakaenda kupima wakakuta wote wazima yule kaka akaanza kuomba mzigo kwani si tayari wachumba yule dada akampa mzigo. wakiwa katika libeneke yule kaka akasema na kama Mungu angesema anaweka watu alama katika hili tungeona viroja sana. yule dada akauliza unasema? yule kaka akasema kwa tendo hili kama Mungu angekuwa anaweka alama watu uliotembea nao na ungekuwa unageuka geuka sura zao ingetisha sana. yule dada akasusa kutoa mzigo kwa yule kaka pale pale yule kaka akaaza kumhesabia wanaume aliokuwa anatembea nao. Huseni, john mushi, iscka mbelwa, makalius,.......yule dada akavaanguo zake akatoka mbio kwani wote ametembea nao kweli
   
 2. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  There is a Need to restart my sense of humor.
   
 3. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...
   
 4. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuchekesha pia kipaji!
   
 5. Panizo

  Panizo Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  u dont knw wat ur duin, is not ur talent! may be ur talent is laughing but not making people to laugh.
   
 6. b

  beyond heaven Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tafuta business nyingine jombaaaaaaaa
   
 7. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,122
  Likes Received: 2,180
  Trophy Points: 280
  Mambo mengi hata hayachekeshi hata kdgo.jipange.
   
 8. M

  Mateka Senior Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  He he he he he hii hi hi Enhe enhe ihi ihi ihi heeeeeeeeeee mama mbavu zangu uuwwwi hehehheh hiiiii enhe ihi hi hih ihi
  eeeeeeeeeeeeeeeee heheheheheh hahahahahahahahh ihi ihi ihi ihi ihi oho oho heeeeeeeee ihi ihi hhhheeeeeeeeee
  ehe eeeeeee
   
 9. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mmh hata mwenye ugonjwa wa kuchekacheka hapa ata brooo
   
 10. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  hii broken nimeipenda..
   
 11. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,673
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kilahunja wewe ndio umenichekesha bibie! Dah....haya bana!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...