Kyachakiche
JF-Expert Member
- Feb 16, 2009
- 986
- 212
Najaribu kupata picha kwamba sasa barabara zimefungwa. Askari wa sare na wale wasionazo wako bize kuzunguka mahakama yote pale Kisutu. Huku watu wakiwa na shauku ya kujua kulikoni, mara kwenye JF, redioni na TV kuna tokea Breaking News.....! "Wale mapapa wote waliotajwa na Mengi wamekamatwa na sasa wako njiani kupelekwa mahakamani" Stay tuned for more....! INGEKUEAJE? Tujadili!
Mkuu una maana nchi ingeparalize?KYACHAKICHE,
Ingekuwa patashika, nguo kuchanika.
Mkuu una maana nchi ingeparalize?
Nini kuzimia ingezirai
Ah wacha tujifariji maana kama mjuavyo dua la kuku likimfikia mwenyewe basi ule mwisho ndo utawadia
Msanii hapo umeniacha hoi.Nini kuzimia ingezirai
Ah wacha tujifariji maana kama mjuavyo dua la kuku likimfikia mwenyewe basi ule mwisho ndo utawadia
Mkuu kwa serikali hii, huo mwisho ndo mwanzo!Na huo mwisho wakaribia.
Mwenye sikio na asikie.
Mkuu kwa serikali hii, huo mwisho ndo mwanzo!
Mkuu humu ndani kuna Tusker Baridii, huwa anaogesha? Joke!Yaani mi nawaza sijui ingenikuta bar au wapi?maana ningeoga Tusker kwa furaha isiyo kifani
Lakini yangeishia kama ya Zombe mkuu!Yaani mi nawaza sijui ingenikuta bar au wapi?maana ningeoga Tusker kwa furaha isiyo kifani