Ingekuwa zamani lazima usisimke....

Ingekuwa zamani lazima usisimke....

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,685
ZAMANI ILIKUWA KWAMBA UKILIONA PAJA LA MWANAMKE, NI LAZIMA USISIMKE....
5d.jpg

WALIOZALIWA MIAKA YA 80 NA KURUDI NYUMA WANAJUA....., Hivi vitu ilikuwa ni MALI HADIMU...
6d.jpg

LEO HII TUNAKAA NA WADADA WAKIWA NUSU UCHI, MAPAJA YAO YAKIWA NJE NJE KIASI KWAMBA TUMEFIKIA HATUA TUNAONA NI JAMBO LA KAWAIDA SANA......
KANGA.jpg
 
Dah! Warembo wapo nusu uchi. Mtihani huu
 
huwa naona aibu nikikutana nao hawa ....
 
Huyo wa mwisho juu aliyevaa kanga,kanivutia sana,kapendeza kwakweli.
 
Sasa kwa nini na wewe unarudia kufanya yaleyale unayoyakemea...!!!
 
Ngumu kusisimka maana muda wote unayaona tena mengine ya rangi tatu ka mbagara,mengine myembambaaaa,mingine duu ka tingatinga,
 
tabia ya kuona sana uchi na kuangalia filamu chafu inapunguza nguvu , inabaki kuona tu , poleni vijana wa leo
 
ZAMANI ILIKUWA KWAMBA UKILIONA PAJA LA MWANAMKE, NI LAZIMA USISIMKE....
5d.jpg

WALIOZALIWA MIAKA YA 80 NA KURUDI NYUMA WANAJUA....., Hivi vitu ilikuwa ni MALI HADIMU...
6d.jpg

LEO HII TUNAKAA NA WADADA WAKIWA NUSU UCHI, MAPAJA YAO YAKIWA NJE NJE KIASI KWAMBA TUMEFIKIA HATUA TUNAONA NI JAMBO LA KAWAIDA SANA......
KANGA.jpg

Kweli ilikuwa adimu kwani ilikuwa natural na viliumbwa na kupewa. Sasa kwanza si vya kweli na kila mmoja anahiari avae kiasi gani hata wengine wanafanya kufuru!
 
Back
Top Bottom