ingekuwa wewe??????

ingekuwa wewe??????

lucresia

Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
15
Reaction score
1
Siku 1 Mr & Mrswalikuwa sebuleni, Mr akataka "kumsuprise" Mrs wake, akaenda chumbani na kuweka line mpya kwenye cm yake, then akampigia Mrs wake aliyemwacha sebuleni.............! HELLOW DARLING....! bila kujua ni Mr wake..wife akajibu KATA UPIGE BAADAE...hili LINGURUWE lipo ndani............... unahisi nini kilifuatia??????
 
hahahahh sipati picha alivyofreeze na simu yake alivyosikia hivyo.....:biggrin1::biggrin1:
 
kwa mm ninavyojua "kupenda" nitaamini nimekosea namba..................!!!!
 
Siku 1 Mr & Mrswalikuwa sebuleni, Mr akataka "kumsuprise" Mrs wake, akaenda chumbani na kuweka line mpya kwenye cm yake, then akampigia Mrs wake aliyemwacha sebuleni.............! HELLOW DARLING....! bila kujua ni Mr wake..wife akajibu KATA UPIGE BAADAE...hili LINGURUWE lipo ndani............... unahisi nini kilifuatia??????
Hayo maneno kwenye red tu yanatosha kumpeleka huyo mama akasalimie kwao!, bila hata kumalizia hayo ya "linguruwe!
 
Siku 1 Mr & Mrswalikuwa sebuleni, Mr akataka "kumsuprise" Mrs wake, akaenda chumbani na kuweka line mpya kwenye cm yake, then akampigia Mrs wake aliyemwacha sebuleni.............! HELLOW DARLING....! bila kujua ni Mr wake..wife akajibu KATA UPIGE BAADAE...hili LINGURUWE lipo ndani............... unahisi nini kilifuatia??????

alijisuprise mwenyewe.
unanikumbusha wakati tupo hostel, ilikua ukitaka kwenda kwa dem wako
inabidi umtaarif kabisa kua unaenda. ukijifanya unamsuprise ungeweza kumkuta mwenzako.
na hapo ukawa umjisuprise.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom