Nimemwambia aamue njia ya kudumu ambayo haitamletea tatizo mbeleniWewe ungefanyaje?..kwahiyo mkewe kalalamika kuwa anataka unyumba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema kabla hujafa hujaumbika..Maisha haya!😭😭
Mungu amtie nguvu rafiki yako...mie nimekosa hata cha kumshauri
Ni kweli aseeWanasema kabla hujafa hujaumbika..
Kweli mkuu maana nimeshindwa ata nimwambie aamue lipiMaisha haya![emoji24][emoji24]
Mungu amtie nguvu rafiki yako...mie nimekosa hata cha kumshauri
Dah mkuu kuuwana uko aisee mapenzi ni wivu akuachie tena ww mnayefaamiana bora ata ndugu yake ila mm cweziPole sana kwake,Mungu muweza atamponya na atarudi dimbani.
*Pia atambue sio kila mwanamke ni mroho wa mboro..so aache kujiachanisha na mkewe..aamini atapona na ashiriki maombi
Ushauri: dark side
na kama anangangania zaidi...mshauri amteue Rafiki yake (ambaye ni wewe) awe anamsaidia hilo jukumu nzitoo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke hataki na familia haijaafiki inaona kama jamaa akibaki peke yake anaweza pata msongo wa mawazo zaidi akajiuwaMshikaji kama nguvu za kiume hana basi ni kheri akubali matokeo amwachie demu aende zake. Kwani Kuendelea kuwa na huyo mke wakati chakula cha usiku hawezi kumpa nadhani ni kujitakia matatizo siku zijazo.
Ipo siku mke atamletea mume mwenzie ndani kitu ambacho si kizuri.
Kama amefunga ndoa ya kikristo hapo ndio tunaapply kile kipengele cha shida na raha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani madakitari wamesema ni tatizo la kudumu haponi tena?Kwa RC katika minajiri ya namna hiyo talaka iko accepted.
Ndoa ni pamoja na utimamu wa kufanya tendo la ndoa, kama hiyo haipo automata hata ndoa inakufa.
Dah mkuu kuuwana uko aisee mapenzi ni wivu akuachie tena ww mnayefaamiana bora ata ndugu yake ila mm cwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mke hataki sawa ila mwambie mshikaji ajiandae kwa lolote kama tatizo lake likiendelea kuwa kama lilivyo. Binafsi nazijua akili za wanawake hawachelewi kubadilisha gia angani hatakama sio wote.Mke hataki na familia haijaafiki inaona kama jamaa akibaki peke yake anaweza pata msongo wa mawazo zaidi akajiuwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali tamu sana hilo. Maana tunazunguka sana mwisho tutarudi kwa daktari alisemaje? Asante khantwe