Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

Sasa nayeye alimwambia yanini kama anampenda na kumuheshimu??? Au alijua yupo kwenye maungamo kusamehewa ni hiari ya mtu anaweza kuaminisha ivi kumbe ni tofauti kabisa na ukweli wake moyoni na ndio maana huyo bidada haamini
 
Mbona unatusemea alafu kwa msisitizo.
Kiukweli tunasamehe vizuri tu maisha yanaendelea
Wanaume huwa hamsamehi....mnasamehe kwa mdomo lakini moyoni mnabaki na kisasi baada ya hapo kila akiteleza mwenza wako mnamhukumu na usaliti...Yaani hata ukikutwa uchi kitandani kama hajamkuta jamaa juu ya kifua ni kukataa tuu kwamba hujafanya chochote....
 
Feeling guilty, kuomba msamaha na kuhofia kurudia tena kosa ni sawa na kuomba msamaha na kuendelea kufanya kosa.
 
Ni suala la muda tu, kusamehe sio jambo rahisi lakin ni muhimu kwa afya ya moyo kinachofanya wengi wafeli kwenye hilo ni kumbukumbu za alichofanyiwa
 
Huu ndiyo ukweli, mfano mzuri ni mimi (siwezi kusamehe kosa la usaliti, haki ya msaliti ni kifo)
 
😀😀
Nimependa ulivyosisitiza,
btw, Watu wengine ni ngumu sana kutokuusema ukweli hata yale maneno matamu kama mwanzo kusema unaona kabisa nafsi inakusuta.!!
 
Me iliwahi kunitokea kumfuma demu wangu na boy mwingine na nikamsamehe vizuri tu bila kinyongo sisi ni binadamu hatujakamalika so tunapaswa kuwa na roho ya msamaha
Mkuu, una hakika moyo wako ni huu huu wa nyama??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…