Ingekuwa wewe ungefanyaje?

Ingekuwa wewe ungefanyaje?

kill

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Posts
1,829
Reaction score
237
mama jeni walikuwa wanaishi jirani kijana mmoja ambaye anaitwa john ambaye alikuwa kipofu kila siku alikuwa anakuja wanapiga stori .siku moja wakati ma.jenn anaoga akasikia mtu anagonga kufungua alikuwa john akaingia sebuleni akavua taulo akaanza kujipaka mafuta bila kujua jonh anaona kila kitu akaanza jonh siku nyingi sijakuona ulikuwa jonh nilienda india kutibiwa macho kwa sasa naona kitu kama huamini hapo ulipo upo uchi una mashine kubwa npe jero mm nisepe! ungechukua uamuzi gani wakati ameona kila kitu?
 
Back
Top Bottom