Ingekuwa vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ingekuwa vipi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mimtamu, Apr 17, 2012.

 1. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa vipi kama Mungu akawaondoa wanawake wote ktk uso wa dunia.

  wanaume wangeishi style gani ya maisha? ukizingatia kuna baadhi usafi kwao unasababishwa na wanawake
   
 2. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wabwanga mpo?
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hao wanawake wawe wamepelekwa wapi kwa mfano....coz kama sio mbali mimi nitarudi....
   
 4. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahaha.. utakuwa mtukutu mbele ya Mungu. Mtakuwa mmewahishwa uzima wa milele
   
 5. C

  Chassarsenal Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah dunia ingekuw km dampo.
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaa tungejua namna ya kuishi
   
 7. R

  Rubuye123 JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,443
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  we we we weh!huruhusiwi hata kuwaza mambo hayo we dada we,mungu asije akafanya kweli bure halafu maisha yakawaje sijui!!hebu achca bana,wengiine hata ku-imagine hiyo tunaogopa,WANAWAKE LAZIMA MUEENDELEE KUWEPO,LABDA MUNGU ATUFUTE WOTE!!
   
Loading...